Nipeni ushauri: Mke wangu ameninunia kwa miezi saba sasa. Navumilia tu hata sijui mwisho wake

Piga chini aipate radha ya usingo maza
 
Nimeoa Ndoa ya Kikristo ndoa ina miaka 4 na nina mtoto mmoja .
Hapa una mtoto mmoja.
Nahofia tukiachana kila kitu kitasambaratika na watoto wataanza pata tabu mana mali ndio hadhina ya watoto. am stuck.
Hapa watoto watapata tabu.

Na hamjashiriki tendo mwezi wa saba sasa.
 
Kunywa nyagi au kvant lewa chakari ukamuombe msamaha piga magoti, mnyonye hadi papuchi ilimradi akusamehe kisha mgegede asubuhi hukumbuki chochote
 
Hakika Uncle.
 
Pole!

Wakristo!ndio wakristo,mnateswa coz mlidanganywa ndoa ni Moja tu!
Mi mkristo ninaamini mitara!HUWEZI KUWA MKRISTO KULIKO IBRAHIM,YAKOBO,MUSA na wote walikua na mitara he wewe mkristo madongo kuinuka ndio uwe nucleated!!?

Ameshakuweka kwenye tagert na malengo katimiza yaani kile alichotaka kwako kakipata!

Sasa USIDAI TALAKA,SUBIRI AIOMBE YEYE!WEWE TAFUTA MCHEPUKO!NDIO MCHEPUKO MALIZA HAJA ZAKO RUDI ULALE KAMA GOGO VILE!!TENA USIIIOMBE COZ HICHO NDICHO ANACHOJIVUNIA YAANI WEWE KUIOMBA NDIO UNAMPA KICHWA!

AKIKUULIZA MCHANE UKWELI"SIWEZI NYENYEKEA MWANAMKE KISA K"MWAMBIE ZIPO KIBAO KITAA NA WEWE UKITAKA INGIA MZIGONI!!

DAWA YA MOTO NI MOTO SIO MAJI!

CHUKUA HII:-

MWANAMKE AKIKUNYIMA UNYUMBA KESHA VUNJA NDOA TAYARI WEWE MOVE ON FASTER!!JITEGEMEE KIVYAKO!!

Unavyolialia ndio unampa kichwa coz anataka kutumia huo uke kukutawala na kuku twist anavyotaka,ndio trick yao hao viumbe!!
 
Hakika Uncle.
 
Kwa nini ulioa mwanamke ambaye hakuelimika?

Kwa nini unampiga dushe ya kitoto? Badilika

Huu ni mwaka nne hujamnunulia hata kufuli kisa unajenga

Madai yake ni mengi ila kubwa kuliko unamdhara kwa sababu elimu yake ndogo
 
Hata kama alikukuta kitandani na mwanamke mwingine hiyo ni too much.

She's planning to kill you.

Hesabu tu kuwa hiyo siyo riziki.
Unaogopa nini kumwambia aache tabia ya kusema uongo hata kwa watu wasiomuhusu.
 
Kila siku nawaambia vijana wa kileo walogeni wake zenu Ninyi mnadai hakuna uchawi... Bila kumuinamisha mwanamke hutafanya kazi ikasonga mbele lazima atakuvuluga tu. Ss ona mwanetu anavyochanganywa badala ya kuwaza pesa tayari anatembea anawaza matatzo ya nyumbani kwake
 
Kwa nini ulioa mwanamke ambaye hakuelimika?

Kwa nini unampiga dushe ya kitoto? Badilika

Huu ni mwaka nne hujamnunulia hata kufuli kisa unajenga

Madai yake ni mengi ila kubwa kuliko unamdhara kwa sababu elimu yake ndogo
sijakuelewa. dushe gani. mwaka wa nne tuko kwenye nyumba yetu
 
Kumuinamisha km una kibamia kinaelea unafikiri anaelewa nini na yeye anataka hogo la jang'ombe limsugue pale kati?
 
Ndoa is a scam thing....wanavumilia tu....
Hata wewe unaona ndoa ni utapeli bora kuchepuka tu yaan unakutana nae anakuondolea ukame wako baada ya hapo kila mtu atembee na njia yake sio kusumbuana?
 
Bibi 🤣🤣
 
Hata wewe unaona ndoa ni utapeli bora kuchepuka tu yaan unakutana nae anakuondolea ukame wako baada ya hapo kila mtu atembee na njia yake sio kusumbuana?
Wenye kubahatika watabahatika ila ndoa isiwekwe kipaumbele kuliko amani na utulivu wa nafsi
 
Achana nae huyo kabla hajakuua
 
Kumuinamisha km una kibamia kinaelea unafikiri anaelewa nini na yeye anataka hogo la jang'ombe limsugue pale kati?
Ww umeona kuinamishwa akili Yako ukaipeleka kwenye dogstyle sio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…