Nipeni ushauri: Mke wangu ameninunia kwa miezi saba sasa. Navumilia tu hata sijui mwisho wake

Nipeni ushauri: Mke wangu ameninunia kwa miezi saba sasa. Navumilia tu hata sijui mwisho wake

Wewe ni mwanaume utakuja kuelewa mbeleni, mwanzoni nilikuaga najua Mzee wangu ni mzinguaji lakini nimekuja kumuelewa sasa kwa nini alikua anafanya anayofanya. Wanawake ni nuksi, unaweza ishi nae ndani anakuambia maneno ya ajabu hata ukimuona ukawa husimamishi.

Wanawake ni viumbee wa ajabu sana ingawa ndio mama zetu, dada zetu lakini akiwa mkeo au mpenzio basi huwa wanakua na akili mbovu sana.
Wee ni muongo sanaa.
 
Hili jamaa litakuwa limemwumiza sana! Na ukweli ni kwamba hawa wanawake hata kutoka nje ya ndoa chanzo huwa ni sisi wanaume mandezi! Unamwumiza miaka yote amekuvumilia tu mwisho wa siku anakata tamaa! Hili jamaa lingeyasema yote hayo linayoyaficha watu mngelia hapa kwa kumhurumia huyo binti!
Hakika wee umesema ukweli.
 
Unaonekana ww ni mr. Nice guy.
Mwanamke hampendi mwanaume ambaye ana upendo wa dhati, mwema kwake, hana michepuko na hana mambo mengi.
Mwanamke anapenda akili yake iwe inawaza na kukufikiria muda wowote ambapo unampa changamoto na hajui afanye nini😀😀😀
Wanawake wanatakiwa wakikutana waseme wanaume ni mbwa. Huyu mwanamke ungekuwa unampiga matukio angekuwa na upendo sana.
ANGALIZO.

This theory it works only in relationship/Dating, Sio kwa Wenye Ndoa na Familia.

Za Kuambiwa changanya na zako.
 
Kuna mtu anampa kiburi huyo wanawake hawapogi hivyo kama yupo serious na mahusiano hizo issue ndogo ndogo atazipotezea na atafocus na mahusiano.

Ukiona ameanza Drama za kipuuzi kama hizo huyo ni mawili anajiandaa kutafuta mtu mwingine yaani mpango mwingine wa maisha anakuona wewe kama ni changamoto au tayari ana mtu anakutafutia timing ili mzinguane ili muachane.

Mpe anachokitaka. Unabembeleza nini na wanawake wapo kibao huko nje wanaitafuta ndoa kwa mwaposa na kwa waganga wa kienyeji?

Mwambie tu mama naomba nisikunyime amani. Haya maisha hatujaja kuteseka,hebu tupeane uhuru wa kuishi tunavyotaka. Kwanini tugombane wakati maisha ni maelewano. Mpe kama ni talaka ajue pa kuanzia mpango wake. Baki na watoto uendelee na life bila usumbufu.
Mleta mada aishi hapa, huko nje wanaotafuta ndoa ni wengi saaaana.
 
ANGALIZO.

This theory it works only in relationship/Dating, Sio kwa Wenye Ndoa na Familia.

Za Kuambiwa changanya na zako.
Jichanganye kuwa mr. nice guy kwa mwanamke haijalishi ni mkeo au upo kwenye dating. Utachakaa
Ndoa au mahusiano mengi ya bad boys na play boy hudumu zaidi kuliko za manice guy.
Nakuhurumia sana kijana, kwa kudanganyika na tamthilia za kifilipino ndiyo ulete kwa mwanamke
Nyuzi nyingi humu walioumizwa na mapenzi ni wale wenye mapenzi ya dhati
 
Nimeoa Ndoa ya Kikristo ndoa ina miaka 4 na nina mtoto mmoja tumejenga ila mke wangu ameninunia now miez 7 navumilia tu hata sijui mwisho wake.

Anasema hanipendi, upendo umeisha kwangu. Sababu kuna makosa nayarudia mara kwa mara kwamba anaona kama simpendi ,na makosa mengine ya zaman hata kabla hatujaoana .

Nimembembeleza nimejaribu kuitishana vikao na wazee amekubal ila sasa amekubali ilimradi kuwaridhisha wazee, maana baada ya hapo anasema kama tunaishi ili watu waone sawa.

So no sex no talking tunapishana kama mang'ombe. Kuachana nae nahofia mwanangu na mali tulizotafuta kwa pamoja

Nahofia tukiachana kila kitu kitasambaratika na watoto wataanza pata tabu mana mali ndio hadhina ya watoto. am stuck
Acha ujinga mjomba. Kuwa mwanaume basi hata masaa 2.
 
Kila siku nawaambia vijana wa kileo walogeni wake zenu Ninyi mnadai hakuna uchawi... Bila kumuinamisha mwanamke hutafanya kazi ikasonga mbele lazima atakuvuluga tu. Ss ona mwanetu anavyochanganywa badala ya kuwaza pesa tayari anatembea anawaza matatzo ya nyumbani kwake
Mwehu! Li mama lako lingerogwa ungepatikana wewe?
 
Nimeoa Ndoa ya Kikristo ndoa ina miaka 4 na nina mtoto mmoja tumejenga ila mke wangu ameninunia now miez 7 navumilia tu hata sijui mwisho wake.

Anasema hanipendi, upendo umeisha kwangu. Sababu kuna makosa nayarudia mara kwa mara kwamba anaona kama simpendi ,na makosa mengine ya zaman hata kabla hatujaoana .

Nimembembeleza nimejaribu kuitishana vikao na wazee amekubal ila sasa amekubali ilimradi kuwaridhisha wazee, maana baada ya hapo anasema kama tunaishi ili watu waone sawa.

So no sex no talking tunapishana kama mang'ombe. Kuachana nae nahofia mwanangu na mali tulizotafuta kwa pamoja

Nahofia tukiachana kila kitu kitasambaratika na watoto wataanza pata tabu mana mali ndio hadhina ya watoto. am stuck
Kuna kitu anakitaka hakuweki wazi tu wanawake Hawajui hata nn wanachotaka Kuna kipindi mi pia nilinuniwa sana na Mimi nikamuiga hivyo hivyo
 
Huu uzi una majibu yote.
Kaka nimekubali kama hilo lakujifanya dini anaijua ndo huyo mama angu yupo bize swala tano aisee
 
Ndoa ni kaa la moto, ndoa ni joto.
🤣🤣🤣 Ndoa ni maisha baada ya harusi, ile sherehe uliyoiota ndotoni.
Ndoa siyo drama mbele ya watu nyimi.
Ndoa ya kweli huanzia moyoni, ndoa ni fumbo....: Dizasta vina.

😆😆😆 huyu jamaa sidhani kama anakula ugali kama sisi wenzake.
 
🤣🤣🤣 Ndoa ni maisha baada ya harusi, ile sherehe uliyoiota ndotoni.
Ndoa siyo drama mbele ya watu nyimi.
Ndoa ya kweli huanzia moyoni, ndoa ni fumbo....: Dizasta vina.

😆😆😆 huyu jamaa sidhani kama anakula ugali kama sisiwenziake.
hahaha anakulannini
 
Back
Top Bottom