Nipeni ushauri wadau

Nipeni ushauri wadau

Embu acha fujo..she amalizie hizo Savannah mkale Raha za dunia..mambo mengine mtayamaliza kesho asubuhi.
Demu ameniambia tusepe twende kwengine..its fine ila mie namtaka huyo aliyeleta hizi savana kwanza numjue.

Hapa ndipo utata ulipo

Hapa she knows nachati na nimemindi...anataka kwemda kwa gari nimemzuia kwanza
 
Mpe mhudumu ofa azinywe yeye
Yes, ila kutomjua huyo jamaa leo pia itakuwa ni tatizo..yawezelama hii Pic tupo wengi mkuu. Hapo ndipo kikwazo kilipo...

Pic analia tuondoke..nimegoma.
 
Yes, ila kutomjua huyo jamaa leo pia itakuwa ni tatizo..yawezelama hii Pic tupo wengi mkuu. Hapo ndipo kikwazo kilipo...

Pic analia tuondoke..nimegoma.
Fanya kumsogeza mhudumu ata na liteni atamtaja aliyemtuma
 
Heheh
Utakaaje na dem wako halaf vinywaji viletwe from nowhere ni dharau kubwa sana sijui ameonekanaje mbele ya kadamnasi
Hili ndilo tatizo nililonalo mkuu. Ni dharau kubwa saana.
 
Hili ndilo tatizo nililonalo mkuu. Ni dharau kubwa saana.
Kama vipi lianzishe halafu mhame kijiwe fasta kikianza kunukia
Hizo savana zitupe chini kwa hasira zipasuke mbali huko halafu sepa
 
Punguza kuvaa musuruali ya kitambaa kama rais wa korea utakuja kunishukuru
[emoji3]
IMG_20220318_084825.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom