Moshi25
JF-Expert Member
- May 6, 2022
- 2,812
- 4,415
Aisee Mkuu we have a problem here, kwanini umeandika my comment?Tatizo la afya ya akili ni kubwa
Hivi kwanini umeni priempt!!!
Makolo wote ni mazombi, mbumbumbu na mazezeta kasoro Rage tu, ni hakika akili hawana ndo maana pamoja kupigwa mara nne na Yanga bado wanashupaza shingo, yaani indeed hata mtoto atakaezaliwa dakika kumi kabla mechi hii utashangaa ataongea na kusema Simba watakula bakora safi kuanzia tatu kwenda mbele, Berkane sio Faru Dume au Abajalo, wale sio ndondo kama Simba!! Huko hakuna kuongezwa dakika 40 za nyongeza!! Huko leo ni kichapo cha mbwa Koko!!
Kama kawa niko Buza Mpalanger maskani nasubiri kuona baada ya mechi Simba wakilialia na kusema mechi itaisha kwa nkapa!! Eti tutapindua meza my foot!!