Nipigwe 'ban' ya mwezi iwapo Yanga atavuka hatua ya makundi

Mkuu wewe kupigwa ban au kutopigwa ban ina athari gani humu jukwaani? Mbona binadamu mnaanza kujitafutia upekee sana na wala huna cha kukupa huo upekee.

Kaa chini uone maana hata mwaka jana mlijiaminisha hivyo hivyo. Mwingine akasema sijui atakunya boga. Shenzi kabisa
 
Ibenge akiwafunga tena kaz imeisha
 
Jifunzeni kuwa na Subra mpira ni mchezo wa Dakika tisini.

Muda ni hakimu wa kweli. Unatoa majibu ya Haki.

πŸ™
 
Ohooooo....umeiga Ile tabia ya Labani og ?
 
Hakuna kocha aliyewahi kuivusha timu hatua ya robo fainali katika msimu wake wa kwanza...mbona hamuelewi? Ndo ramo huyo?
 
Kumbuka kuna hizi
 

Attachments

  • Screenshot_20250111-224743_WhatsApp.jpg
    272.4 KB · Views: 2
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…