Nipigwe 'ban' ya mwezi iwapo Yanga atavuka hatua ya makundi

Nipigwe 'ban' ya mwezi iwapo Yanga atavuka hatua ya makundi

TANGAZO
Kesho ni siku rasmi ya kuchoma calculator zilizowadanganya yanga,fika na calculator yako bila kukosa wala kuchelewa
Ok. Wameshazikusanya andaa kiberiti🤣🤣🤣🤣
 

Attachments

  • FB_IMG_1737216234979.jpg
    FB_IMG_1737216234979.jpg
    65.2 KB · Views: 1
  • FB_IMG_1737216245918.jpg
    FB_IMG_1737216245918.jpg
    20.8 KB · Views: 1
Kuna shabiki nilikua nimekaa nae karibu kamtukana kocha huku macho kayatoa, "Huyu kocha si amuingize Kibu Dennis ndio dakika zake, nikamjibu kwa upole Kibu Dennis haruhusiwi kucheza huku kwani yeye yuko Simba namuona kanyweea huku akivuta punzi ndefu😂😂😂
Wamechanganyikiwa moja kasema alimtoa Musonda kwanini asimrudishe uwanjani
 
Mimi Dabil nikiwa na akili zangu timamu bila kushurutishwa au kushawishiwa na mtu yeyote,Yanga akivuka hatua ya makundi na kuingia robo fainali nipigwe BAN ya mwezi.

Ninetafakari sana,haitatokea Yanga kuvuka hili kundi maana hawana uzoefu wa kuingia robo fainali ya club bingwa mwisho wa ni makundi tu.
Yeyote mwenye akili timamu alijua hili....mkishamkejeli MUNGU lazma mabaya yawakute....kiko wapi YANGA
 
Yeyote mwenye akili timamu alijua hili....mkishamkejeli MUNGU lazma mabaya yawakute....kiko wapi YANGA
Kumfunga mwarabu anayetafuta draw kufuzu ni ishu sana maana lazima apoteze mda,yanga walirelax kipindi cha kwanza ilitakiwa mpera mpera mwanzo mwisho
 
Back
Top Bottom