Nipo Dar, biashara ipi inalipa kati ya kukaanga miguu ya kuku na kukaanga mihogo?

Thanks.
Ila maeneo ya chuo hasa nilichosoma Mimi naona sehemu hakuna zimeshawahiwa
Jaribu kuangalia vingine au laa uza maeneo mazuri ila sio uswazi sana kama apo buguruni mfano Mtaani apa Sinza kuna mtu anauzaga morning asee anauza balaa, pia nishapita pale maeneo ya msasani kuna watu wanauza kwa bei ile wanapatapata
Vip kuhusu viungo vya kuku na kuku wenyewe?
Kama una mtaji uza kuku wa kukaanga ila sio viungo vyake pekee
 
Jaribu kuangalia vingine au laa uza maeneo mazuri ila sio uswazi sana kama apo buguruni mfano Mtaani apa Sinza kuna mtu anauzaga morning asee anauza balaa, pia nishapita pale maeneo ya msasani kuna watu wanauza kwa bei ile wanapatapata

Kama una mtaji uza kuku wa kukaanga ila sio viungo vyake pekee
Hata na mm ndo wazo langu la kukaanga kuku ila nilitaka nichanganye maana sio watu wote Wana afford kununua kuku like Vidalia nk Sema sehemu ndo sjapata ila nkipata sehemu naanza hata kesho yani
 
msomi kweli kweli, ambaye hawez hata kufanya mchanganuo wa biashara ya miguu ya kuku a.k.a mwendokasi.
Kwa mtu mwenye akili hawezi kuongea shit kama hizi....
Mind to your mouth....

Unataka aje hapa jukwaani. Aombe miachango ya kuchangiwa aweze kula?
Wasomi wangapi wapo mtaani hata wazo la biashara kama hili hawana?
Mtu kaamu kuweka aibu pembeni ndo unamnanga hivo?
Idiots
 
Kuna mwana kamaliza SAUT mwaka jana, alikuwa anafanya hiyo ya kuuza viungo vya kuku i.e utumbo, figo , miguu nk nk nk....Sasa bwn njaa ikim-gonga huwa anakula hizo nyama balaa...yaani Kama vile hauzi Kama vile yy ndo mteja Sasa .... So TAKE CARE HOMIE ..make sure kabla hujaanza hizo mishe getto uwe na surplus ya misosi kwa ajili yako mwenyewe....
 
hakuna shit wala shot hapo, AJITATHMINI. Simple.
 
Kuna mwana kamaliza SAUT mwaka jana, alikuwa anafanya hiyo ya kuuza viungo vya kuku i.e utumbo, figo , miguu nk nk nk....Sasa bwn njaa ikim-gonga huwa anakula hizo nyama balaa...yaani Kama vile hauzi Kama vile yy ndo mteja Sasa .... So TAKE CARE HOMIE ..make sure kabla hujaanza hizo mishe getto uwe na surplus ya misosi kwa ajili yako mwenyewe....
ASante kwa mawazo Yako ntayafanyia kazi
 
Fanya vyote. Meza itakuwa inatumika kwa kuku na mihogo, kikaangio kilekile, pia utaongeza jiko la mkaa la kuchomea kuku. Asubuhi unadamka mapema unaenda sokoni kununua kuku na mihogo kwa pamoja, unaleta mihogo mizuri fresh unauza asubuhi saa moja mpaka saa nne hivi.

Jioni kuanzia saa 12:30 unakuwa na kuku unakata vipande nusu 4,500 paja 2,500, kidari, shingo, miguu, firigisi. Uko sokoni unanunua shingo na miguu mingi, utumbo achana nao. Hivyo vyote hutokuwa na mabenchi ya kukalia ila tafuta mtu mmoja mshirikiane (hakikisha haji na pumbu zake tu, hatojali. Aje na kiasi hata isizidi laki na awe na kauzoefu)

Mtaji wako sio mbaya changamoto ni kupata eneo sahihi. Achana na Uswahilini kuna ushindani au bei zimekufa, na wateja njaa wana purchasing power ndogo. Nenda vituo vya daladala vinavyoshusha watu wengi.

ANGALIZO: Haijawahi kuwepo biashara rahisi, ikitokea huwa inakufa.
 
Mkuu kwanza nitangulize shukrani 🤝
Nimependa mawazo Yako

Shida ni kupata sehemu kama ulivosema hata stend naona kama sehemu zimewahiwa japo sijafanya survey ya stend
 
Back
Top Bottom