- Thread starter
- #21
ASante acha niingie mtaani mkuuMashallah...Huyu ndo msomi Sasa...
Pambana mkuu weka aibu pembeni
I like your spirit....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ASante acha niingie mtaani mkuuMashallah...Huyu ndo msomi Sasa...
Pambana mkuu weka aibu pembeni
I like your spirit....
Jaribu kuangalia vingine au laa uza maeneo mazuri ila sio uswazi sana kama apo buguruni mfano Mtaani apa Sinza kuna mtu anauzaga morning asee anauza balaa, pia nishapita pale maeneo ya msasani kuna watu wanauza kwa bei ile wanapatapataThanks.
Ila maeneo ya chuo hasa nilichosoma Mimi naona sehemu hakuna zimeshawahiwa
Kama una mtaji uza kuku wa kukaanga ila sio viungo vyake pekeeVip kuhusu viungo vya kuku na kuku wenyewe?
msomi kweli kweli, ambaye hawez hata kufanya mchanganuo wa biashara ya miguu ya kuku a.k.a mwendokasi.Mashallah...Huyu ndo msomi Sasa...
Pambana mkuu weka aibu pembeni
I like your spirit....
Hata na mm ndo wazo langu la kukaanga kuku ila nilitaka nichanganye maana sio watu wote Wana afford kununua kuku like Vidalia nk Sema sehemu ndo sjapata ila nkipata sehemu naanza hata kesho yaniJaribu kuangalia vingine au laa uza maeneo mazuri ila sio uswazi sana kama apo buguruni mfano Mtaani apa Sinza kuna mtu anauzaga morning asee anauza balaa, pia nishapita pale maeneo ya msasani kuna watu wanauza kwa bei ile wanapatapata
Kama una mtaji uza kuku wa kukaanga ila sio viungo vyake pekee
Kila la kheri mkuu.Hata na mm ndo wazo langu la kukaanga kuku ila nilitaka nichanganye maana sio watu wote Wana afford kununua kuku like Vidalia nk Sema sehemu ndo sjapata ila nkipata sehemu naanza hata kesho yani
Kwa mtu mwenye akili hawezi kuongea shit kama hizi....msomi kweli kweli, ambaye hawez hata kufanya mchanganuo wa biashara ya miguu ya kuku a.k.a mwendokasi.
ASante mkuu nitaleta mrejesho nkifanikiwaKila la kheri mkuu.
hakuna shit wala shot hapo, AJITATHMINI. Simple.Kwa mtu mwenye akili hawezi kuongea shit kama hizi....
Mind to your mouth....
Unataka aje hapa jukwaani. Aombe miachango ya kuchangiwa aweze kula?
Wasomi wangapi wapo mtaani hata wazo la biashara kama hili hawana?
Mtu kaamu kuweka aibu pembeni ndo unamnanga hivo?
Idiots
ASante kwa mawazo Yako ntayafanyia kaziKuna mwana kamaliza SAUT mwaka jana, alikuwa anafanya hiyo ya kuuza viungo vya kuku i.e utumbo, figo , miguu nk nk nk....Sasa bwn njaa ikim-gonga huwa anakula hizo nyama balaa...yaani Kama vile hauzi Kama vile yy ndo mteja Sasa .... So TAKE CARE HOMIE ..make sure kabla hujaanza hizo mishe getto uwe na surplus ya misosi kwa ajili yako mwenyewe....
Kwanini mihogo?Mihogo
Kama hujaelewa mada s lazima uchangie mkuuJifunze kushona mkuu, hapo kuna jamaa yuko karibu na ofisi za tigo pale anaprint na kushona uniform. Hiyo industry ina future nzuri sana kwako huko mbele.. believe me
Ngozi ya nini?Tabata nilikuta kitu kinaitwa supu ya ngozi.
Tuone nini?ngoja tuone
Mkuu kwanza nitangulize shukrani 🤝Fanya vyote. Meza itakuwa inatumika kwa kuku na mihogo, kikaangio kilekile, pia utaongeza jiko la mkaa la kuchomea kuku. Asubuhi unadamka mapema unaenda sokoni kununua kuku na mihogo kwa pamoja, unaleta mihogo mizuri fresh unauza asubuhi saa moja mpaka saa nne hivi.
Jioni kuanzia saa 12:30 unakuwa na kuku unakata vipande nusu 4,500 paja 2,500, kidari, shingo, miguu, firigisi. Uko sokoni unanunua shingo na miguu mingi, utumbo achana nao. Hivyo vyote hutokuwa na mabenchi ya kukalia ila tafuta mtu mmoja mshirikiane (hakikisha haji na pumbu zake tu, hatojali. Aje na kiasi hata isizidi laki na awe na kauzoefu)
Mtaji wako sio mbaya changamoto ni kupata eneo sahihi. Achana na Uswahilini kuna ushindani au bei zimekufa, na wateja njaa wana purchasing power ndogo. Nenda vituo vya daladala vinavyoshusha watu wengi.
ANGALIZO: Haijawahi kuwepo biashara rahisi, ikitokea huwa inakufa.