Nipo Dar, nahitaji hustler mmoja anipe idea ya kuwekeza 400k then nipate Angalau faida ya 20k kwa siku

Nipo Dar, nahitaji hustler mmoja anipe idea ya kuwekeza 400k then nipate Angalau faida ya 20k kwa siku

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2017
Posts
23,928
Reaction score
63,499
Huyo hustler ntampa 70k kama Asante.

NB hii idea before ajanipa Nampa hiyo 70k kwanza sitaki ujanja ujanja. Nipo DSM.

NB: Mimi ni hustler na nimeshatapeliwa Sana so endapo nikikupa hiyo 70k ukapotea utakuwa unataka kunifanya niendelee kukaa kwa shemeji tu.
 
Huyo hustler ntampa 70k Kama Asante

NB hii idea before ajanipa Nampa hiyo 70k kwanza sitaki ujanja ujanja
Nipo dsm

Nb Mm Ni hustler na nimeshatapeliwa Sana so endapo nikikupa hiyo 70k ukapotea utakuwa unataka kunifanya niendelee kukaa kwa shemeji tu.
Sema nyinyi mnaotafuta pesa kusha kuja kutafuta information ya wapi pa kuinvest mnachokitafuta mtakipata.
Jifunzeni kufanya research kwa ground sio information ya wapi pa kuwekeza.
 
Idea ni nyingi mdogo wangu...mojawapo nenda pale karume pale mitumbani... Asubuh sana yaani uwah wale wanapofungua mabelo ya viatu... Nunua viatu vya mtumba size ya kati hadi juu kidogo. Vyakutosha pesa yako...nenda home kavioshe tena vyeupe tumia chokaa hasa asa epuka sabun ya unga.
Faida: raba nyingi huwa ni kama mpya kabisa watakuuzia tsh.5000. tafuta sehemu weka au tembeza mdogomdogo uku ukipumzika sehemu yenye watu weng ukipanga raba za... mteja akija unamchek status yake unamuuzia 22000tsh. unapunguza hadi 15000tsh. Nakuambia lazima utauza hata pea tano..faida yake ni zaidi ya hiyo.
Kama hii iko nifuate pm na 70k.
 
Ili wazo nitakalokupa lifanye kazi inabidi kwanza uelezee ratiba zako zikoje?yaani kwa siku uko masaa mangapi ambayo uko free,maana unaweza kupewa wazo ukakosa muda wa usimamizi
 
Back
Top Bottom