DongoJeusi
Member
- Aug 1, 2018
- 80
- 80
Kwa mtu kuja hapa jukwaani na kuuliza huwa ni mwanzo mpya wa tafiti...Sema nyinyi mnaotafuta pesa kusha kuja kutafuta information ya wapi pa kuinvest mnachokitafuta mtakipata.
Jifunzeni kufanya research kwa ground sio information ya wapi pa kuwekeza.