DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Mkuu Kama hupo serious njoo pmTuma hyo 70 kwa namba hii 0765445356
Sipo serious mkuuMkuu Kama hupo serious njoo pm
Powh Mkuu ngoja wadau wajeSipo serious mkuu
Kwann usiandike vitabu mr. Ngugi,?Powh Mkuu ngoja wadau waje
Nina 500k so atakayenipa wazo ntampa 70k mm nabaki 430k so lazima nimpe kitu
Mkuu tunapambana kote kote as survivalKwann usiandike vitabu mr. Ngugi,?
Kitambaa cheupe Tena?Nenda Kitambaa cheupe sinza kuna hustlers wengi wataalamu watakusaidia mawazo
Hiyo Kazi ya kishetani Fanya wewe mkuuKodi chumba kifanye kiwe chumba cha kuzinia, zinaa inalipa, wazinzi wapo kibao wanatafuta sehemu salama za kuzinia, ila jiandae kupata nuksi na mikosi isiyo na kikomo.
Huyo hustler ntampa 70k Kama Asante
NB hii idea before ajanipa Nampa hiyo 70k kwanza sitaki ujanja ujanja
Nipo dsm
Nb Mm Ni hustler na nimeshatapeliwa Sana so endapo nikikupa hiyo 70k ukapotea utakuwa unataka kunifanya niendelee kukaa kwa shemeji tu.
Tunatishana sana.Kodi chumba kifanye kiwe chumba cha kuzinia, zinaa inalipa, wazinzi wapo kibao wanatafuta sehemu salama za kuzinia, ila jiandae kupata nuksi na mikosi isiyo na kikomo.
Sema nyinyi mnaotafuta pesa kusha kuja kutafuta information ya wapi pa kuinvest mnachokitafuta mtakipata.Huyo hustler ntampa 70k Kama Asante
NB hii idea before ajanipa Nampa hiyo 70k kwanza sitaki ujanja ujanja
Nipo dsm
Nb Mm Ni hustler na nimeshatapeliwa Sana so endapo nikikupa hiyo 70k ukapotea utakuwa unataka kunifanya niendelee kukaa kwa shemeji tu.