DongoJeusi
Member
- Aug 1, 2018
- 80
- 80
Kwa mtu kuja hapa jukwaani na kuuliza huwa ni mwanzo mpya wa tafiti...Sema nyinyi mnaotafuta pesa kusha kuja kutafuta information ya wapi pa kuinvest mnachokitafuta mtakipata.
Jifunzeni kufanya research kwa ground sio information ya wapi pa kuwekeza.
Ongeza mtaji almost 800k- 1.5m or more nikupe hio idea, but uwe smart kwenye masuala ya transactionsHuyo hustler ntampa 70k Kama Asante
NB hii idea before ajanipa Nampa hiyo 70k kwanza sitaki ujanja ujanja
Nipo dsm
Nb Mm Ni hustler na nimeshatapeliwa Sana so endapo nikikupa hiyo 70k ukapotea utakuwa unataka kunifanya niendelee kukaa kwa shemeji tu.
Hustler arap Ruto,Huyo hustler ntampa 70k Kama Asante
NB hii idea before ajanipa Nampa hiyo 70k kwanza sitaki ujanja ujanja
Nipo dsm
Nb Mm Ni hustler na nimeshatapeliwa Sana so endapo nikikupa hiyo 70k ukapotea utakuwa unataka kunifanya niendelee kukaa kwa shemeji tu.
Naomba hiyo idea tafadhaliMimi naweza kukupa Idea simple sana ukawekeza 50,000 ukapta faida ya iyo 20k kwa siku au zaidi afu iyo itayobak utafanyia biashara ingne au utatunza
Ingekuwa busara zaidi kama ungemwaga hayo maujanja hapa kwaajili ya faida ya wengi mkuu.Mkuu, mawazo ya kupata hiyo 20,000 Kila siku yapo,mengi tu sema Sasa yanahitaji uwepo wapo muda wote,au usimamizi wa Hali ya juu na kujitoa kikamilifu Ili kupata hiyo 20,000 Kwa siku.
Hebu njoo pm , tuzungumze tukielewane nakupa idea upambane mkuu.
Naomba hiyo idea tafadhali
Hiyo sio kweli.Idea ni Uwe mke. Kodi ya meza kila siku ni 20K
Em tunakuomba uiweke basi hiyo idea,ili wengi wetu tufaidike nayo MkuuMimi naweza kukupa Idea simple sana ukawekeza 50,000 ukapta faida ya iyo 20k kwa siku au zaidi afu iyo itayobak utafanyia biashara ingne au utatunza
Kwamba haiwezekani au? Hivi huwa mnafanya nini huko mataani?Mtaji laki 4 upate faida ya 20000 kila siku...very interesting!
Hustler arap Ruto,
Biashara kama hiyo ingekuwepo kila mtu angekuwa tajiri na huyo unayetaka akusaidie asingepoteza muda kuchukuwa 70K zako. Wewe unaongelea biashara faida ya laki 5 kwa mwezi wa kwanza. Biashara nyingi huchukuwa muda kabla ya kurudisha initial investment na ndiyo uanze kupata faida halisi. Nakuombea mafanikio.
Kwamba in a week umake( faida) laki na 40 ila MTAJI NI LAKKI 4🤣🙌Kwamba haiwezekani au? Hivi huwa mnafanya nini huko mataani?
Kama ni zile biashara zenu za kichuuzi (kwenye 1Kg upate Tsh 10) ni kweli 400k haiwezi kukupa 20K, unless inawezekana kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wachache wanapewa...Hiyo sio kweli.
20*30 =600,000.
Mshahara wa mtu huo., akupe yote kwa chakula tu?[emoji15]
Hamfanyi hivyo.
Huyo hustler ntampa 70k Kama Asante
NB hii idea before ajanipa Nampa hiyo 70k kwanza sitaki ujanja ujanja
Nipo dsm
Nb Mm Ni hustler na nimeshatapeliwa Sana so endapo nikikupa hiyo 70k ukapotea utakuwa unataka kunifanya niendelee kukaa kwa shemeji tu.
Hili wazo liko sahihi kabisa. Tatizo mwenye nyumba gani atakubali?Kodi chumba kifanye kiwe chumba cha kuzinia, zinaa inalipa, wazinzi wapo kibao wanatafuta sehemu salama za kuzinia, ila jiandae kupata nuksi na mikosi isiyo na kikomo.
Mkuu, mawazo ya kupata hiyo 20,000 Kila siku yapo,mengi tu sema Sasa yanahitaji uwepo wapo muda wote,au usimamizi wa Hali ya juu na kujitoa kikamilifu Ili kupata hiyo 20,000 Kwa siku.
Hebu njoo pm , tuzungumze tukielewane nakupa idea upambane mkuu.
Yes wachache
Huyo hustler ntampa 70k Kama Asante
NB hii idea before ajanipa Nampa hiyo 70k kwanza sitaki ujanja ujanja
Nipo dsm
Nb Mm Ni hustler na nimeshatapeliwa Sana so endapo nikikupa hiyo 70k ukapotea utakuwa unataka kunifanya niendelee kukaa kwa shemeji tu.
kaibu MTFE. SIGNAL UNAPEWA BURE