EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
Mi nakupa ushauri wa bureee nenda Goba kwenye mnada wa mbuzi tafuta banda anza kuuza bia tafuta mdada mzurii Ijumaa na Jumapili hukosi laki3 kwa hizo siku mbili siku zingine za wiki wengine watakupa mawazoHuyo hustler ntampa 70k Kama Asante
NB hii idea before ajanipa Nampa hiyo 70k kwanza sitaki ujanja ujanja
Nipo dsm
Nb Mm Ni hustler na nimeshatapeliwa Sana so endapo nikikupa hiyo 70k ukapotea utakuwa unataka kunifanya niendelee kukaa kwa shemeji tu.
Very possible sema kaka Wakati msimu wa mazao unakaribia kukata.Mtaji laki 4 upate faida ya 20000 kila siku...very interesting!
Kwamba in a week umake( faida) laki na 40 ila MTAJI NI LAKKI 4[emoji1787][emoji119]
Watu wamekariri biashara za vitabuni, kila kitu wanaona hakiwezekani wakiapply zile formular zao[emoji23][emoji23][emoji23].Very possible sema kaka Wakati msimu wa mazao unakaribia kukata.
Mtoa mada mwakani mwezi wa nne tuonane
Haliwezekani, au ni ndogo sana hiyo faida.Mtaji laki 4 upate faida ya 20000 kila siku...very interesting!
Watu wamekariri biashara za vitabuni, kila kitu wanaona hakiwezekani wakiapply zile formular zao[emoji23][emoji23][emoji23].
Sent using Jamii Forums mobile app
Inategemea kipaji chako cha uongeajiHili wazo liko sahihi kabisa. Tatizo mwenye nyumba gani atakubali?
Ila watu mna ufwalaa 😁😁😁Sipo serious mkuu
Hata sielewi mkuuHaliwezekani, au ni ndogo sana hiyo faida.
Wazo lazima lifanyike hapo ?Huyo hustler ntampa 70k kama Asante.
NB hii idea before ajanipa Nampa hiyo 70k kwanza sitaki ujanja ujanja. Nipo DSM.
NB: Mimi ni hustler na nimeshatapeliwa Sana so endapo nikikupa hiyo 70k ukapotea utakuwa unataka kunifanya niendelee kukaa kwa shemeji tu.
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣[emoji23][emoji23][emoji23]
Mbn mm ndio bajeti ya mama yoyoo hyoHiyo sio kweli.
20*30 =600,000.
Mshahara wa mtu huo., akupe yote kwa chakula tu?😳
Hamfanyi hivyo.
SawaKwa mtu kuja hapa jukwaani na kuuliza huwa ni mwanzo mpya wa tafiti...
Mkuu hizo raba nazipatia wapi?Mtaji wa 400k unatosha kabisa. Ila kabla ya yote unatakiwa uumize akili vya kutosha hata mwili pia. Biashara ya huo mtaji inabidi kujitoa mhanga na muda wote uwepo kimwili na kiakili. Ni mtaji ambao hauhitaji kabisa ule uswahili wa kusema "mwanzo mgumu", "binadamu sio wakamilifu tunafanya makosa", nk. Huo mtaji unahitaji discpline ya hatari maana kosa kidogo tu mtaji umefia mbali. Ungekuwa una subira na una mchina huko China ungeagiza 100pcs za viatu vya Tsh 2000 ambazo unaweza kuuza TZ kwa Tsh 10,000 hadi 15,000/=. Ni subira ya mwezi hadi mwezi na nusu.
Hata mm nahitaji 😁Mtaji laki 4 upate faida ya 20000 kila siku...very interesting!
AlibabaMkuu hizo raba nazipatia wapi?