Mimi mafuriko ya kusomba watu kutoka miji mingine na kuwatelekeza mjini ndio yalinishangaza ndio maana nikaeleza nilichokiona kwny kampeni za Ccm.BINAFSI 2015 mafuriko ya mamvi yalinipa confidence sana ya kujigamba mtaani, maana niliona mafuriko kila kona kuzidi CCM.
Ndo maana nimetoa tahadhari.
Wakuu habari za leo
Najua nyie ni wazima lengo la kuandika huu uzi hapa napenda tu kuwakumbusha kuwa Tanzania haina democrasia kabisa.
Sababu hatufuati pillars of Democracy mfano FREE MASS MEDIA hii kitu ilishakufa 5 years ago tusishangae Lisu kwenda kusemea kenya huku akipata Nafasi ya kuongea TCRA watafanya mpango sauti yake isisikike inakuwa kama tunaangalia Pornograph.
Cha pili ways of improving democracy in any country ni by increasing role of opposition parties kwetu hapa ukiwa mpinzani unaonekana kama jambazi au mhalifu kabisa ata ukipigwa na risasi serikali haikuhangaikii kabisa vyama vya siasa vimeminywa sana CCM tu inatamba hadi wasanii wote wako CCM.
VIJANA MNAOSHABIKIA CCM NA KUMCHEKA LISU KISA KAWA KILEMA NAWAKUMBUSHA HAUJAFA HAUJAUMBIKA HAWA WALIOMPIGA LISASI NAWAKUMBUSHA HAUJAFA HAUJAUMBIKA.
Ili mradi tu ,Vyombo vyetu vya Dola vinaendelea kuunga chama cha CCM
HAMNA DEMOKRASIA.
Vyombo vya habari vinafikiria kwa tumbo siku hizi
Hata sisi hatuna uhuru kiasi hicho, tuvumiliane tu.
Magufuli ananyoosha nchi
Sasa Ulitaka Warushe sauti gani yahuyo Msaliti na Mropokaji!
Mtu Kila kukicha nikuiombea nchi mabaya
Hiyo Demokrasia peleka ufipani hatuihitaji
"Hujafa hujaumbika" imetumika sipo kabisa. Na haifanani na hoja yako.
Tangu tuwe na uhuru Tanzania Hatujawahi kuwa na mgombea Uraisi wa ajabu kama huyo bwana
Mtu ambaye hajui aongee nini na wapi na Kwa Wakati gani?
Hiyo ni wakupingwa na kila mtu mwenye akiri timamu
Niseme tu kwakweli Lissu anakubalika, imagine watu tumejikuta tuuuu tunatoka makwetu kuja kumsindikiza Lissu na tumejikuta kuijaza Dodoma.
Sasa basi, ili kupunguza panic itabidi tugawanyike ili kule waende baadhi yetu ambao nao watakuwa wengi kuliko kawaida. Msafara mkubwa unatarajiwa kutua pale NEC makao makuu kama ilivyopangwa.
Lissu anakubalika aisee!
Rais anayengoja kuapishwa !! Dunia inakwenda kushangaa kinachokwenda kutokea Tanzania....mbeba naono huyo!!
Lissu The Great
Wewe unasemaje kauli yako ni ipi kuhusu haya mafuriko ya Lisu?
Magufuli angeanza kufungasha mizigo yake ikulu imeisha hiyo
Kwa kutumia katiba gani?!
Lowassa aliwaachia cdm kiki kubwa sana. Sitegemei lissu kuifikia ile kiki hata kwa mbali. Narudia act wazalendo ndio ataenda kua chama kikuu cha upinzani baada ya huu uchaguzi. Na hata act atapitia zanzibar sio bara .
Cha muhimu naomba Magufuli atuachie Tausi wetu asije akaondoka nao hapo chato.
Go lissu go lissu we love you
Niseme tu kwakweli Lissu anakubalika, imagine watu tumejikuta tuuuu tunatoka makwetu kuja kumsindikiza Lissu na tumejikuta kuijaza Dodoma.
Sasa basi, ili kupunguza panic itabidi tugawanyike ili kule waende baadhi yetu ambao nao watakuwa wengi kuliko kawaida. Msafara mkubwa unatarajiwa kutua pale NEC makao makuu kama ilivyopangwa.
Lissu anakubalika aisee!
Hauna maguluneti lakini?Niko hapa migoli nakuja huko Dom town........kesho ni sikukuu!
Kwa kutumia katiba gani?!
Lowassa aliwaachia cdm kiki kubwa sana. Sitegemei lissu kuifikia ile kiki hata kwa mbali. Narudia act wazalendo ndio ataenda kua chama kikuu cha upinzani baada ya huu uchaguzi. Na hata act atapitia zanzibar sio bara .
Nashukuru bwashee!......mi nitakuwa Dodoma hotel kwenye dinner ya ACT wazalendo!
Anakubalika kwa watu wajinga.
Huo ni mwaka 1995, leo ni 2020. Miaka 25 imepita.Hayo mafuriko ya zigi zaga?
1995 Mrema alikuwa anabebwa juu ko juu na wafuasi wake lakini kilichomkuta....?!!!
Unaweza kuwa jikoni ukaishia kuwa mpikaji tu!Mtakufanyie mataga mi mbona Niko jikoni, sema tu nataka mabadiliko
Pole,CDM sio ccm kutegemea propaganda ndo maana kila kitu mnaona Ni uongo.subiri ushahidi wa picha kesho uje useme hayaUongo unakusaidia Nini?
You are westing your time big time.....
cdm watashindwa vibaya mno....
kwasababu ya kelele nyingi...
strategy mbovu......
Lisu hatapata hata 20% ya kura na hakuna lolote mtafanya kwakuwa atakuwa ameahindwa kihalali kabisa!Cdm hagombanii kuwa chama kikuu cha upinzani. Kama mnaamini kunajisi box la kura kutawabeba, safari hii mjiandae kuandika historia mpya ya udictator wa kumwaga damu.
Kuchukua fomu sio kupiga kura tanapa weweLissu anakubalika aisee!
Napata bia zangu hapa five N, saa sita kamili usiku tunaianza safari ya kuja dodoma.
Walitaka afe,ikashindikana kwa uwezo wa Mungu.Hivi we YEHODAYA kwa Nini unamchukia Lissu alikukosea Nini?