NIPO DUBAI πŸ‡¦πŸ‡ͺ β€” Unaweza Kuagiza iPhone, Samsung, Google Pixel na Electronics Nyingine Genuine

Sikia mahi, hiyo biashara yako ya upewe hela kabisa afu uagize, hakuna mtu utamchota hapa, wee fanya hivi beba mzigo jumla ulete Bongo waja wachangamke nazo.
hii biashara naifanya na siiachi wew kama huwez kaa pembeni hujashikwa shati kulazimishwa uagize..
 
Mahi sijakuambia uiache, nimekupa ushauri tu, ila labda uende FB, Tiktok, na insta, huko ndio wako washamba na malimbukeni Utawapata was kushato.

Kwa hapa JF, Wallah utashindwa wewe, hakuna Phaller humu. Polee.
acha dharau kwahiyo kukaa jamiiforums unajiona wewe ndio mjanjaa. wanaotumia insta, fb na tiktok ndio washamba..

sasa wewe ndio limbukeni wa mitandao
 
Wazo zuri ila viashiria vya utapeli ni vingi
Mfano hujasema kama wewe ndiyo unaanza biashara au ni mzoefu.

Kama ni mzoefu niitegemea uje na proves mbalimbali kuonesha kuwa ww kweli ni genuine na simu zako ni quality.
Mfano wa proves ni kama ushahidi wa malipo au ushahidi wa bidhaa kumfikia mlengwa n.k.
Hii ingefanikishwa kama tungepata ukurasa wako halisia wa instagram n.k

Kumbuka hili ni jukwaa anonymity so kuaminiana kirahisi kiasi hicho ni ngumu ndiyo maana wenzako sahivi wanasafirisha mzigo kwanza mteja anaukagua ndiyo wanalipa .

My take ,kama huna duka bongo tafuta dealer wako mletee mzigo then tangaza location humu watu wamfuate nakuhakikishia kwa bei ulizotaja hapo juu humalizi mwezi stock itakuwa ishaisha na wafanyabiashara wenzako wengine kuanza kuagiza kutoka kwako.

UKIPINGA NITAPATA MASHAKA NA UHALALI WAKO sitoona aibu kukuita TAPELI.

Anyway: Najua kuna vibwengo watajaa kwenye mfumo πŸ˜‚
 
Mahi sijakuambia uiache, nimekupa ushauri tu, ila labda uende FB, Tiktok, na insta, huko ndio wako washamba na malimbukeni Utawapata wa kushato.

Kwa hapa JF, Wallah utashindwa wewe, hakuna Phaller humu. Polee.
Hasira zako za kutapeliwa amazon huko na kikuu unaleta kwenye biashara yangu..
vipi madam
 
acha dharau kwahiyo kukaa jamiiforums unajiona wewe ndio mjanjaa. wanaotumia insta, fb na tiktok ndio washamba..

sasa wewe ndio limbukeni wa mitandao
Mpaka hapa unajionesha uhalisia wako na kufanya watu tukujudge kuwa wewe ni tapeli ,sasa umepewa ushauri unaanza kutukana watu ,ukipewa pesa mizigo ya watu utatuma kweli wewe na picha lako hilo la akili mnemba dogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…