NIPO DUBAI 🇦🇪 — Unaweza Kuagiza iPhone, Samsung, Google Pixel na Electronics Nyingine Genuine

acha dharau kwahiyo kukaa jamiiforums unajiona wewe ndio mjanjaa. wanaotumia insta, fb na tiktok ndio washamba..

sasa wewe ndio limbukeni wa mitandao
Nakuambiajee hupati mtu wa kumchota hapa JF, huoni kwanza waja washatoka, wameona wee ni tapeli na mwizi wa kimacho macho.

Nasemaje, Rudi huko huko FB, Tiktok na Insta, sio hapa.
😂😂😂😂
 
Nilimjua toka mda, kuna comment alijibu juu kule, nikahisi, ndio maana nikaamua nimpandishe sukari ajae kwenye mfumo, na hajui kujificha wala kujishikilia.

Ni YEYEEE.
Haikunichukua hata dakika kutambua kwamba huyu fala tapeli ,hata bei anazotaja zimekaa kimtego kutamanisha watu
 
Hadi simu ifike Katoro, itabidi niandae kiasi gani?

Galaxy S20 128GB — TSh 230,000

Gharama za usafiri hadi katoro.
Muda wa bidhaa kunifikia

Ikitokea imepotea ama kuharibika, utanisaidiaje?
 
Tangu lini wajinga na wapumbavu waliwahi kuisha duniani mkuu?

Ubinadamu ni kazi/the humanity is work.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…