Nipo hapa kuomba fursa ya ajira au connection ya Kazi hasa kuhusu kitengo cha mazingira, Afya na usalama mahara pa kazi

Nipo hapa kuomba fursa ya ajira au connection ya Kazi hasa kuhusu kitengo cha mazingira, Afya na usalama mahara pa kazi

Joined
May 14, 2024
Posts
6
Reaction score
9
Nipo hapa kuomba fursa ya ajira au connection ya Kazi hasa kuhusu kitengo cha mazingira, Afya na usalama mahara pa kazi

Kuhusu Mimi
Mimi ni : ME
Umri : 26
Elimu : Degree of Geography and Environmental studies, na OSHA (NOSHC 1)
Napatikana : Morogoro

Sifa zangu
Sichagui kazi
Mchapa Kazi
Wakili mzuri kwenye uwaminifu
Lugha nzuri mahara pa kazi

Moja ya kazi niliyo fanya kwa kipindi husika

•Mimi nina uzoefu wa kilimo cha miwa, mahindi, mpunga na ufuta
Kuanzia mwanzo wa mradii wa zao usika mbaka hatua Mavuno na uuzaji.

•Kuhusu kufanya Kazi nisha wahi fanya kazi katika miradi ya watu binafsi , pia kampuni ya Kilombero Sugar Company Limited (Morogoro) nikiwa kama "GENERAL WORKER " kwenye secta ya kilimo.

Pia, Ninaweza kufanya Kazi yoyote iliyo Halalishwa na nikatoa matokeo Chanya yenye kuendana na malengo yaliyo pangwa na Idara Husika

Natanguliza shukurani ikiwa upo na fursa mojawapo au Connection ya kazi , naomba unijuze Kwa namba ya simu nilioweka hapo chini.

0673456175
 
Mkuu kama uchumi unaruhusu hebu jishikize tu kwenye Security firm yoyote alafu fanya hii kozi Certified Security Management Professional (CSMP) Level 6 Accredited Diploma. Ni kozi ya mwaka mmoja na inatolewa na International Security Management Institute, mtihani utafanyia hapo British council. kuna siku utarudi kunishukuru. Narudia tena utarudi kunishukuru.

 
Mungu akutangulie vipi kwenye ajira za serikali umewahi kujaribu?
 
Back
Top Bottom