Nipo hapa Manzese Kwa Mkwere napiga vyombo, wadau njooni basi tuliunge

Yeah sure ila vijana wenzako Gily na Intelligent businessman wanakataa
 
😊😊 za jioni kaka ? Bwana Yesu Afisifiwe. Familia inaendeleaje kaka mkubwa
Niko poa kabisa. Amina ndugu yangu. Familia iko poa ila mwanangu ana rushes vibaya mno, haka kachanga wageni wakija wakikibeba kanapata allergy. Sasa nataka kuzuia wagenj wasije kumuona very sad...
 
Joto la siku mbili hizi kabla ya mvua.
Pia msimgubike sana nguo nyingi lakin pia msimuache bila nguo za wastani ....atavuka hiyo steji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…