Nipo hapa na passion lady tukiendelea kula bata letu taratibu

ah ah ah! Unanikumbusha mbali kusema hayo ma dude yani basi tu udaktari ulikua unanihusu ila wastani tu uka kwamisha madili
khaaa... Hiyo name cycle yako ni Incomplete Metarmophosis arif
 
ah ah ah! Unanikumbusha mbali kusema hayo ma dude yani basi tu udaktari ulikua unanihusu ila wastani tu uka kwamisha madili

shukuru huo wastani ulivyo kwamisha.... Maana sasa hivi ungekuwa unamalizia shift ya night kwa kucheza na madonga makubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…