Nipo hapa na passion lady tukiendelea kula bata letu taratibu

Bina ya afya nimemuandalia tena ni first class atakua anatibiwa lile daraja la ma rais.

Hati ya nyumba ipo tena ina thamani ya £ 1.2mill.

ewaaaa @jiwe linaloishi
kama ulikuepo,hayo uliyaorodhesha ni miongoni
mwa masharti niliyowapa,hawawezi wasepe!

 
Usijali my Passion Lady sina haja ya kutumia nguvu nyingi kwa wapinzani!
Kwanza jina la wapinzani linawatosha kuonesha wameshindwa!

Watashindana lakini watashindwa!

Your welcome my akanana!

am fyn swr!uko poa habibty wangu
nawaona wanakupiga vita sana ila mwisho wao umefika!
 
Last edited by a moderator:
Usijali my Passion Lady sina haja ya kutumia nguvu nyingi kwa wapinzani!
Kwanza jina la wapinzani linawatosha kuonesha wameshindwa!

Watashindana lakini watashindwa!

Your welcome my akanana!

peleka stress zako corner bar
 
Last edited by a moderator:
mapendo ni mapendo mupenzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…