Passion Lady
JF-Expert Member
- Nov 17, 2012
- 8,694
- 4,646
Itaniua bana shemeji angu, bola nijipake vitunguu
i min mume mkubwa
hahaaa!fanya hivyo bas!
mume mkubwa ndio makitu gani hayo shemeji
Ila mie mwenyewe jinsi ninavyo mpenda chozi hua linatoka lenyewe, ebu wewe muulize tu atakuambia
kabisa kabisa mkuu
hivyo ni visingizio tu!!!!!!!!!!!!
acha haraka
kwanza bwna harusi mgonjwa
pia BMW sijaiona
we nitafute
nitamuacha Andindilile achukue mtoto!
nichefue tu!
ndio tunaelekea kanisani sasa fanya mambo nowNdoa mida gani mkuu ifungwe? me nasubiri amri yako tu
hivyo ni visingizio tu!!!!!!!!!!!!
ndio tunaelekea kanisani sasa fanya mambo now
huyo huyo unaemjua!Thubutu! Andindilile huyu huyu ?
ndio tunaelekea kanisani sasa fanya mambo now
huyo huyo unaemjua!
ah ah! Shemeji BMW yako ipo njiani inakuja
fanya faster kabla sijaharibu!
Jiandae kabisa, ili twende na kanisani mkabalikiwe bana na Tonykp