mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 20,704
- 66,337
ni first year πSema dogo ana ugonjwa wa kutafuta attention seeker
Mi mwizi wa kimataifa tu, na mchimba chumvi tu ππ.Alikua anachagua watu ππππ akihisi wote mpo serikalini maana ni mzee wa kuzama pm sana...mimi nilimtoa nduki hapo ndio tatizo likaanzaππππ
Hadi tulizompa kwa kulipa ki??
Kwenye Uzi wake adi kufikia Jana ulikua na dislike28 nadhani hawajafutaHadi tulizompa kwa kulipa kisasi nazo walizifuta??
Na atadisco najua yupo humu saa hiiππni first year π
Dah madogo Hawa hawaeleweki, Kama wana take kuoga au kunyaππni first year π
π€π€π€ Nasikia wingu zito limetanda apo daslamNje ya Mada:
Nasikia Kuna kiwanda kinaungua hapo maeneo ya Vingunguti machinjioni aliekaribu na hapo atupe updates
Anaipenda jf kinyama, huenda ilikuwa ndoto yake. Kabla ya kuwa na simuππ mshamba_hachekwiNa atadisco najua yupo humu saa hiiππ
Mimi mmoja wapo dah! Ile ban iliniuma sana...ππππSema Kuna watu aliwasomesha nambaππ
yupo anajiita Voice of Tanzania πNa atadisco najua yupo humu saa hiiππ
Nimemuona anafuata nyayo za mwenzieππππkua makini yupo anajiita Voice of Tanzania π
Kuna id humu nahisi ni za mtu mmojaππ Kitimoto nahisi ni ya huyu mzee wa dislikeAnaipenda jf kinyama, huenda ilikuwa ndoto yake. Kabla ya kuwa na simuππ mshamba_hachekwi
ni stage tu πDah madogo Hawa hawaeleweki, Kama wana take kuoga au kunyaππ
Mbona I'd ya kitambo sanakua makini yupo anajiita Voice of Tanzania π
πππππ eti ilikua ndoto yakeππππAnaipenda jf kinyama, huenda ilikuwa ndoto yake. Kabla ya kuwa na simuππ mshamba_hachekwi
haeleweki π kuna ya Mzee wa RedMbona I'd ya kitambo sana
Ipo kule kwenye Id mpya AlmightyGodWapiii mbna sijaonaa kanitag [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bannedhaeleweki π kuna ya Mzee wa Red
Mi nilishasema, I mean no malice to nobody ππ. Ila ukilianzisha umeishaππMimi mmoja wapo dah! Ile ban iliniuma sana...ππππ
hongera sanaHabari wanajamii....
Natumai wote ni buheri wa afya njema sana...
Nielekee kwenye hoja halisi moja kwa moja...Leo nimefunguliwa kutokana na adhabu niliyopewa hapo majuzijuzi na mods baada ya kupigwa ban shauri ya uchokozi nilioufanya baada ya kumfungulia uzi kijana alikua anasababisha taharuki kwa kutumia reaction ya dislike ndivyo sivyo...
Sasa nimerejea tena na nina amani tele moyoni wangu....
Nawakaribisha hapa tena tuungane na kuendelea kuchagizana na mastory mengi kama tulivyokuwa hapo awali!
Ahsante...