Nipo Kariakoo muda huu: Kariakoo kumetakata, kusafi sana. Wahusika wapongezwe

Wakati jiji linachafuka rais alikuwa nani?
 
NImekuelewa ila hujanielewa, ngoja nifafanue,
Duka A, umeenda wewe kununua bidhaa Y unabishana bei unalipa 15,000 unaondoka.
Naenda mimi bidha ileile duka lilelile napambana naambulia kulipa 25,000

Huu ndo wizi ninaousema
 
Wakati jiji linachafuka rais alikuwa nani?
huenda wale magaidi waliofanya ghasia na kuharibu miondombinu oct.2025 ndio haswa waliochafua jiji hilo.

but kwa ushuhuda wa mtoa hoja,
jiji kwasasa ni safi kuliko ilivyo kawaida. Na huo ni mwanzo tu, kazi inaendelea.

sasa na wewe maliza kunywa kisungura chako halafu utupe kichupa kiholela upewe zawadi yako
 
Zoezi liwe endelevu,dar serikali inajitahidi kuijenga ila unakuta usimamizi mbovu watu wanaenda kufanya biashara sehemu za mahitaji mengine,baadae uzuri wote wa lile eneo unapotea,TZ nzima hakuna sehemu yenye barabara michepuko nzuri kama mbezi mwisho,ila paliharibiwa na wamachinga kukawa kuko ovyo,ajabu eti manispaa ya ubungo imewaondoa wafanyabiashara waliikua kwenye miamvuli wanawaacha wajenge mabanda no mbezi mwisho sio soko ni stendi,ile sehemu ingeachwa kama stendi,wafanyabiashara wakapelekwa sehemu nyingine
 
Mimi ni dume sio wa kupewa kama nyie mpaka mjipendekeza kwa wezi na malaya
 
NImekuelewa ila hujanielewa, ngoja nifafanue,
Duka A, umeenda wewe kununua bidhaa Y unabishana bei unalipa 15,000 unaondoka.
Naenda mimi bidha ileile duka lilelile napambana naambulia kulipa 25,000

Huu ndo wizi ninaousema

Hapo bado tunarudi pale pale kuna bidhaa zinakuwa regulated kwa bei elekezi na huwa ni chache sana nyingi ni soko huria hata wale wanaosema ni wajamaa hapa dunia iko katika ubepari tofauti na hapo ni bidhaa kuwa subsidized na serikali.
 
Reactions: Lax
Pongezi ya kinyonge sana, tuongeze .
 
Masoko mengi yapo wazi, wengi hao vijana wanaitana toka vijini , warui wali[potoka.
Si kila mtu lazma aishi mjini.
Machinga complex haina mtu, Mawasiliano hakuna mtu, Tushazoea maisha kama nguruwe, hapana.
 
Reactions: Lax
Suala la bei elekezi naunga mkono, bidhaa mpja haiwezekani mwongine auziwe 15,000 mwongine auziwe 30,000 huu ni wizi wa wazi
Sio kila kitu kinahitaji bei elekezi,acheni market ifanye kazi yake, na wewe kama unaweza uza kwa 10,000 uchukue wateja wote, fursa 😁
 
Reactions: Lax
Suala la usafi na mipango miji serikali ya ccm ilishafeli siku nyingi.

Tatizo la nchi hii ni siasa za hovyo za ccm,subiri ukaribie uchaguzi hao wamachinga watarudi barabarani na mji utachafuka na hakuna kiongozi atakayesema chochote.

Usafi huu ni mbwembwe za afcon tu.
 
Suala la bei elekezi naunga mkono, bidhaa mpja haiwezekani mwongine auziwe 15,000 mwongine auziwe 30,000 huu ni wizi wa wazi
Hao washenzi Machinga wafukuzwa ni matapeli tu
 
Reactions: Lax

Mimi napenda uchafu
 
Lipeni Kodi na nyie mbona waajiriwa wenye mshahara kidogo wanalia kila mwezi, nyie matajiri vipi

Hatulipi!

Ninyi waajiriwa kwani mnalipa kwa kupenda. Si kwa sababu mfumo umewadhibiti?

Ndicho nasema hapa, serikali itafute namna za kiteknolojua kuratibu biashara za mtandaoni. Watu wapate hela na yenyewe ipate hela.

Hakuna anayependa kulipa kodi popote duniani. Ni mifumo tuu inabana.

Na kwenye biashara uaminifu sio neno la kutegemewa. Mfumo ndio unaotegemewa
 

Inaweza kuwa ni mbwembwe za Afcon lakini ni muhimu hali ibaki kama inavyoonekana huko Kariakoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…