Nipo Kariakoo muda huu: Kariakoo kumetakata, kusafi sana. Wahusika wapongezwe

Nipo Kariakoo muda huu: Kariakoo kumetakata, kusafi sana. Wahusika wapongezwe

Sio kila kitu kinahitaji bei elekezi,acheni market ifanye kazi yake, na wewe kama unaweza uza kwa 10,000 uchukue wateja wote, fursa 😁
Mchina alishusha bei hapa, watu wakaja na ngonjera kwamba faida inaenda china,
 
Back
Top Bottom