Kuna mmoja yeye nilikua nimemtafuta mm. Dadawa rafiki yangu kaolewa na kaka yake wanaishi pamoja. So nikamchimba sister coz she knows me toka nina 12yrs akanipa uhakika binti tabia zimenyooka. Kama nipo serious niende nikaongee nae tuelewane.
-Huyu ni maji ya kunde, si mrefu kama mimi,
- tako la haja. I must admit ndio lilinivuta maana nilitaka wa kukula tu.
-Msabato
-She's 25
Ila huyu sister kanikazia kua kama namtaka basi iwe kuoa na sio kumchezea. Nikaona isiwe kesi ngoja niwe na japo mchumba.
Siku naenda kukutana nae tumekaa tunaongea chskwanza baada ya kujitambulisha aliuliza unafanya kazi gani, unaishi wapi, unaplan uniweke wapi ukinichukua. It wasn't a big deal to me. Niloona kawaida. Nikamjibu tu kua mm elimu yangu ni hii nafanya shughuli hiii.
Huyu niliyetafutiwa nilipoonana nae wala hakuuliza hayo yeye alitaka tu anione maana tayar wajomba walikua washaongea nae. Mm nilisema sijasoma sana nalima lima tu ndio shughuli yangu. Yeye alinijibu kua "Kulima haina shuda ndio maisha yake" Means that she's ready kuishi nami popote na kwa hali yoyote🤔
Hapo nilianza kumtafakari yule niliyetafuta mimi maana sidhani kama ana endurance katika magumu nayoweza pita nae maisha.
Huyu niliyetafutiwa
-Tunalingana urefu
-Mweupe
-Tako lipo ila limefichwa na ukijiji
-Inaonyesha akikas mjini atakua pisi kwelikweli.
-Ni dhehebu moja nami
-She's 19