Nipo katikati sijui nichukue uamuzi gani. Msaada!

Mkuu nilivyoenda kumuona nikaongea nae wajomba walibaki wanasubiri kujua kama binti atanipenda nae kuolewa nami. Walivyosikia kakubali walishangilia balaa[emoji23]
Tuwekee ka picha mkuu [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wakuu mm niko late 20s sasa bibi angu mzaa baba amekua akinisisitiza swala la kuoa ila namkwepa.
Nilivyoenda nyumban bibi alienda kwa kaka zake kijijini akakodineti mipango kwa binti fulani hivi. Yaani huyo binti kaka zake wote wanamsifia kwamba ni mchapakazi, Ana heshima, Sio muongeaji sana, ni mchaMungu nk .
Nilienda kumuangalia nikaongea nae. Anatazamika na anapostika kiasi.

Wakuu naomba mnipe ushauri hivi mke wa kutafutiwa anaweza kua bora kuliko ambae nitajitafutia?
-Yaani naokopa kumkataa maana wajomba zake baba wananisisitiza sana kwamba kwa jinsi wanavyomjua yule binti nitakua nimepata mdada mwema.
- Je wakuu nifanyeje.
Ukitafutiwa mwanamke WA kuoa sifa kuu hakikisha awe bikra

Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
 
Nimegawa likes kama njugu

Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
 
Ndugu lawama ukimwambia maisha mjini magumu anasema mbona we bado uko huko na haujarudi kijijini?

Ndio umaamua kumwambia njoo ujionee

Akifika stand unamuuliza umekuja na chakula akijibu hapana na simu zetu zinazima chaji kwa bahati mbaya

Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
 
Kama ni bikra muoe, kama sio piga chini waambie wakutaftie mwingine.

Na huyo binti usiache kumchunguza kabla ya kuoa, hata wao sometimes wanakua na wapenzi wao au watu wanaowapenda ila shinikizo la wazazi hufanya waolewe na wasiowapenda. Awe muwazi.

Na uache utoto, eti anapostika nyambaf unaoa wewe au unawaolea unaotaka uwapostie.
 
Sasa mkuu nitajuaje kua ni bikra. Binam yake alinihakikishia kua ni bikra
 
Ukute huna hata demu wa kuzugia tu afu anataka kukataa mwanamke aliyechaguliwa kwa ajili yako.

Oa tu mengine utajua huko mbeleni.
 
Sasa mkuu nitajuaje kua ni bikra. Binam yake alinihakikishia kua ni bikra
We jamaa unafeli kichizi, kwani kuna njia ngapi unazozijua wewe na unazoweza kuzimudu za kujua huyu ni bikra??
 
Wakuu mm niko late 20s sasa bibi angu mzaa baba amekua akinisisitiza swala la kuoa ila namkwepa.
Nilivyoenda nyumban bibi alienda kwa kaka zake kijijini akakodineti mipango kwa binti fulani hivi. Yaani huyo binti kaka zake wote wanamsifia kwamba ni mchapakazi, Ana heshima, Sio muongeaji sana, ni mchaMungu nk .
Nilienda kumuangalia nikaongea nae. Anatazamika na anapostika kiasi.

Wakuu naomba mnipe ushauri hivi mke wa kutafutiwa anaweza kua bora kuliko ambae nitajitafutia?
-Yaani naokopa kumkataa maana wajomba zake baba wananisisitiza sana kwamba kwa jinsi wanavyomjua yule binti nitakua nimepata mdada mwema.
- Je wakuu nifanyeje.
Eeeh....anatazamika na anapostika ndio sifa zako za Mke ...... Oa Sasa si anapostika ....
 
Ndoa Kwa kiasi Fulani ni kuifurahisha jamii...wewe muoe Tu huyo huyo ...
Advantages ukimuoa basi hao ndugu wote watakuwa tayari kukusaidia hata mtaji ukikwama since Una mke wanaempenda......tofauti ukienda chagua huko tiktok au kwenye vigodoro... wanaweza kukutenga
We're being married this year. A catholic marriage
 
Wakuu mm niko late 20s sasa bibi angu mzaa baba amekua akinisisitiza swala la kuoa ila namkwepa.
Nilivyoenda nyumban bibi alienda kwa kaka zake kijijini akakodineti mipango kwa binti fulani hivi. Yaani huyo binti kaka zake wote wanamsifia kwamba ni mchapakazi, Ana heshima, Sio muongeaji sana, ni mchaMungu nk .
Nilienda kumuangalia nikaongea nae. Anatazamika na anapostika kiasi.

Wakuu naomba mnipe ushauri hivi mke wa kutafutiwa anaweza kua bora kuliko ambae nitajitafutia?
-Yaani naokopa kumkataa maana wajomba zake baba wananisisitiza sana kwamba kwa jinsi wanavyomjua yule binti nitakua nimepata mdada mwema.
- Je wakuu nifanyeje.
Chukua muda kumjua na kumsoma. Huenda pia akawa mke bora kabisa
 
Mungu akifanikisha kwa neema zake September haitapita
 
Back
Top Bottom