Nipo katikati sijui nichukue uamuzi gani. Msaada!

Nipo katikati sijui nichukue uamuzi gani. Msaada!

Wakuu mm niko late 20s sasa bibi angu mzaa baba amekua akinisisitiza swala la kuoa ila namkwepa.
Nilivyoenda nyumban bibi alienda kwa kaka zake kijijini akakodineti mipango kwa binti fulani hivi. Yaani huyo binti kaka zake wote wanamsifia kwamba ni mchapakazi, Ana heshima, Sio muongeaji sana, ni mchaMungu nk .
Nilienda kumuangalia nikaongea nae. Anatazamika na anapostika kiasi.

Wakuu naomba mnipe ushauri hivi mke wa kutafutiwa anaweza kua bora kuliko ambae nitajitafutia?
-Yaani naokopa kumkataa maana wajomba zake baba wananisisitiza sana kwamba kwa jinsi wanavyomjua yule binti nitakua nimepata mdada mwema.
- Je wakuu nifanyeje.
Owa wewe, unataka mke wa kumposti ili iweje? Au unawaolea wengine?
 
Mkuu wazazi wetu wanatupenda Sana na wanapenda kutuona tukifanikiwa katika maisha.Unavyoona hiyo hali ya kusisitizwa kuoa ni Kwa sababu wameona Kuna faida ya kuoa.Kwa upande wangu niseme tu navyoona Baba zetu au mama zetu Wanakuwa wanajua wenza Bora wa kuoa kuanzia tabia Hadi mwonekano na Wanakuwa na busara kubwa sana kwenda kuongea na familia ya Binti na swaga pia wanazo mpaka Binti anakubali Hadi familia yake.

Muoe huyo Binti anakufaa Kwanza Bado Damu yake inachemka Miaka 19.Na umeshasema anakuheshimu na yupo Tayari kuishi na wewe japo wewe ni mkulima. Hiyo ni bahati mkuu.Sina mengi nawatakia familia njema mzae mkajaze Dunia hii.
Ahsante sana mkuu kwa ushauri. Bless
 
Maelezo yatakuwa marefu,
Kufupisha maelezo,
Muoe tu, akikuvuruga si unapiga chini.
 
Nawewe uliwahi tafutiwa
Wewe mchukue huyo utaleta mrejesho humu......ndoa za Zamani zilidumu wazee walikua wanawachagulia Vijana mke wa kuoa au mume wa kuolewa nae walikua wanamjua vizuri kijana ....sasaiv watu wanajichagulia wanajikuta wanachagua MTU asiyefaaa....tambua ndoani unaishi Na Tabia Ya MTU utu wake...Huo muonekane wa nje utazuzuka nao Kwa Muda mfupi tu mkishakaa Muda hautazuzuka kiivo...above all MTU ata awe mzur vipi akikutibua nyongo au akaanza kukuletea ghasia Huo uzuri hutauona
 
Back
Top Bottom