Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 13,544
- 43,537
Mm sijawaza kuoa, bado navunja mifupaNawewe uliwahi tafutiwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mm sijawaza kuoa, bado navunja mifupaNawewe uliwahi tafutiwa
Ahsante kwa maelezo. Ngoja nimkubali nitoe posa Mungu aongoze njia kama kapanga kweli tuwe pamojaWewe mchukue huyo utaleta mrejesho humu......ndoa za Zamani zilidumu wazee walikua wanawachagulia Vijana mke wa kuoa au mume wa kuolewa nae walikua wanamjua vizuri kijana ....sasaiv watu wanajichagulia wanajikuta wanachagua MTU asiyefaaa....tambua ndoani unaishi Na Tabia Ya MTU utu wake...Huo muonekane wa nje utazuzuka nao Kwa Muda mfupi tu mkishakaa Muda hautazuzuka kiivo...above all MTU ata awe mzur vipi akikutibua nyongo au akaanza kukuletea ghasia Huo uzuri hutauona
Kwahiyo binti akiwa 19yrs obviously anakua ni bikra?Ni bikra mkuu. 19yrs
Amini nakwamba at 23-25 anabadilika. Hajakuwa hata nukta ya akili yake.Ni bikra mkuu. 19yrs
Pamoja na tabia tuache unafiki hamna mwanaume asiyependa binti mrembo. Mwisho wa siku inaishia umeoa na bado unamcheat mkewe kwakutafuta michepuko. Kama machoni mwanamke hajakufurahisha usiwazie kumuoa utamtesa tu binti wa watu.Sura haitatunza ndoa Wala kukulea watoto Na wewe angalia Tabia njema
Binti huyu ni mrembo wa kijijini akija mjini akala upepo atakua bonge la pisiPamoja na tabia tuache unafiki hamna mwanaume asiyependa binti mrembo. Mwisho wa siku inaishia umeoa na bado unamcheat mkewe kwakutafuta michepuko. Kama machoni mwanamke hajakufurahisha usiwazie kumuoa utamtesa tu binti wa watu.
Duu hapo pagumu sana… haya mambo muda mwingine ni kama kubet muda mwingine unaweza kutafutiwa mambo yakagoma na unaweza kutafuta mwenyewe mambo yakawa safi…Wakuu mm niko late 20s sasa bibi angu mzaa baba amekua akinisisitiza swala la kuoa ila namkwepa.
Nilivyoenda nyumban bibi alienda kwa kaka zake kijijini akakodineti mipango kwa binti fulani hivi. Yaani huyo binti kaka zake wote wanamsifia kwamba ni mchapakazi, Ana heshima, Sio muongeaji sana, ni mchaMungu nk .
Nilienda kumuangalia nikaongea nae. Anatazamika na anapostika kiasi.
Wakuu naomba mnipe ushauri hivi mke wa kutafutiwa anaweza kua bora kuliko ambae nitajitafutia?
-Yaani naokopa kumkataa maana wajomba zake baba wananisisitiza sana kwamba kwa jinsi wanavyomjua yule binti nitakua nimepata mdada mwema.
- Je wakuu nifanyeje.
Maono hayabadilishi tabia, i second youMimi hawakuishia kunichagulia tu, bali nililazimishwa kabisa.
Nilikataa sana na baadae ikanilazimu kuridhia.
Aisee!. Nikiri wazi kuwa hakika nimepata mwanamke wa tofauti kabisa. Mwanamke bora, mtiivu na hakika mwenye upendo uliopitiliza.
Sisemi kuwa huyo wako naye atakuwa bora, ila tabia ya mtu huonekana hadharani. Kinachobaki na kitakachoamua mustakabali wa baadae ni maono yake mwenyewe.
Jisomee hapa;
Ndoa ya kulazimishwa yageuka tamu na yenye baraka
Hata unayemtaka bado inaonekana hatokuwa BORA.
Hutaki kuoa?Hupendi kula uroda?Hupendi kuishi na mke mkibadilishana ujingaujinga wenu kimaisha?Oa kijana.Au unaogopa huyo binti atakuchezea akuache?
Hamna muoaji hapo
Sasa wewe wabambikizie Hadi mahari...jifanye huna mahari wajomba watamaliza...
Huyo ndio atakufaa sio wakupeana namba kwenye daladala
Mimi hawakuishia kunichagulia tu, bali nililazimishwa kabisa.
Nilikataa sana na baadae ikanilazimu kuridhia.
Aisee!. Nikiri wazi kuwa hakika nimepata mwanamke wa tofauti kabisa. Mwanamke bora, mtiivu na hakika mwenye upendo uliopitiliza.
Sisemi kuwa huyo wako naye atakuwa bora, ila tabia ya mtu huonekana hadharani. Kinachobaki na kitakachoamua mustakabali wa baadae ni maono yake mwenyewe.
Jisomee hapa;
Ndoa ya kulazimishwa yageuka tamu na yenye baraka
All the best......Updates...
_
Jana nimeenda kumuona tena nikiri kwamba huyu binti ni pisi ya maana sana. Yaani wazee wamechagua aina ileile nayoipenda hafu tunafanana vituvingi kimuonekano. JJJana nimepeleka kishika uchumba. Nilienda na mashahid 7 wote wamemkubali binti.
Familia yangu yote yamtaka huyuhuyu ndio nioe. Mniombee nitaleta mrejesho one day!