Nipo katikati sijui nichukue uamuzi gani. Msaada!

Owa wewe, unataka mke wa kumposti ili iweje? Au unawaolea wengine?
 
Ahsante sana mkuu kwa ushauri. Bless
 
Mkuu sura pia ina matter kwenye kuoa.
Vipi wewe unashaurije kuhusu swala hilo la kutafutiwa mchumba
Iwe sura liwe tako, ndiyo umposti? Unakaribisha mwenyewe kuliwa mkeo, usiseme hatujakuonya.
 
Maelezo yatakuwa marefu,
Kufupisha maelezo,
Muoe tu, akikuvuruga si unapiga chini.
 
Nawewe uliwahi tafutiwa
Wewe mchukue huyo utaleta mrejesho humu......ndoa za Zamani zilidumu wazee walikua wanawachagulia Vijana mke wa kuoa au mume wa kuolewa nae walikua wanamjua vizuri kijana ....sasaiv watu wanajichagulia wanajikuta wanachagua MTU asiyefaaa....tambua ndoani unaishi Na Tabia Ya MTU utu wake...Huo muonekane wa nje utazuzuka nao Kwa Muda mfupi tu mkishakaa Muda hautazuzuka kiivo...above all MTU ata awe mzur vipi akikutibua nyongo au akaanza kukuletea ghasia Huo uzuri hutauona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…