Nipo katikati sijui nichukue uamuzi gani. Msaada!

Ahsante kwa maelezo. Ngoja nimkubali nitoe posa Mungu aongoze njia kama kapanga kweli tuwe pamoja
 
Kijana we muoe tu huwezi jua yawezekana kitabia yupo vzur wanamfahamu ndio mana wanakusihi umuoe ila kama mambo yatakuwa magumu uko mbele si utapiga chini tu
 
Sura haitatunza ndoa Wala kukulea watoto Na wewe angalia Tabia njema
Pamoja na tabia tuache unafiki hamna mwanaume asiyependa binti mrembo. Mwisho wa siku inaishia umeoa na bado unamcheat mkewe kwakutafuta michepuko. Kama machoni mwanamke hajakufurahisha usiwazie kumuoa utamtesa tu binti wa watu.
 
Pamoja na tabia tuache unafiki hamna mwanaume asiyependa binti mrembo. Mwisho wa siku inaishia umeoa na bado unamcheat mkewe kwakutafuta michepuko. Kama machoni mwanamke hajakufurahisha usiwazie kumuoa utamtesa tu binti wa watu.
Binti huyu ni mrembo wa kijijini akija mjini akala upepo atakua bonge la pisi
 
Duu hapo pagumu sana… haya mambo muda mwingine ni kama kubet muda mwingine unaweza kutafutiwa mambo yakagoma na unaweza kutafuta mwenyewe mambo yakawa safi…
Na kuna waliotafutiwa wake toka zamani wakadumu na zamani wazazi walikuwa wanachagulia watoto wao wenza…..!

Ila nakushauri ukae utafakari kwa kina ukimridhia weka chombo ndani
 
Owa wewe, unataka mke wa kumposti ili iweje? Au unawaolea wengine?
FaizaFoxy una binti yeyote unaweza niozesha? Kwa ninavyo kusoma lazima binti yako atakuwa na maadili sana…naomba unisaidie…kama ukikosa mtoto basi hata wewe😄😄😄
 
Maono hayabadilishi tabia, i second you
 
Updates...
_
Jana nimeenda kumuona tena nikiri kwamba huyu binti ni pisi ya maana sana. Yaani wazee wamechagua aina ileile nayoipenda hafu tunafanana vituvingi kimuonekano. JJJana nimepeleka kishika uchumba. Nilienda na mashahid 7 wote wamemkubali binti.
Familia yangu yote yamtaka huyuhuyu ndio nioe. Mniombee nitaleta mrejesho one day!
Hata unayemtaka bado inaonekana hatokuwa BORA.

Hutaki kuoa?Hupendi kula uroda?Hupendi kuishi na mke mkibadilishana ujingaujinga wenu kimaisha?Oa kijana.Au unaogopa huyo binti atakuchezea akuache?

Hamna muoaji hapo

Sasa wewe wabambikizie Hadi mahari...jifanye huna mahari wajomba watamaliza...

Huyo ndio atakufaa sio wakupeana namba kwenye daladala

 
All the best......

Karibu uwanja wa vita(ndoa)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…