Tuwekee ka picha mkuu [emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu nilivyoenda kumuona nikaongea nae wajomba walibaki wanasubiri kujua kama binti atanipenda nae kuolewa nami. Walivyosikia kakubali walishangilia balaa[emoji23]
Ukitafutiwa mwanamke WA kuoa sifa kuu hakikisha awe bikraWakuu mm niko late 20s sasa bibi angu mzaa baba amekua akinisisitiza swala la kuoa ila namkwepa.
Nilivyoenda nyumban bibi alienda kwa kaka zake kijijini akakodineti mipango kwa binti fulani hivi. Yaani huyo binti kaka zake wote wanamsifia kwamba ni mchapakazi, Ana heshima, Sio muongeaji sana, ni mchaMungu nk .
Nilienda kumuangalia nikaongea nae. Anatazamika na anapostika kiasi.
Wakuu naomba mnipe ushauri hivi mke wa kutafutiwa anaweza kua bora kuliko ambae nitajitafutia?
-Yaani naokopa kumkataa maana wajomba zake baba wananisisitiza sana kwamba kwa jinsi wanavyomjua yule binti nitakua nimepata mdada mwema.
- Je wakuu nifanyeje.
Nimegawa likes kama njuguWakuu mm niko late 20s sasa bibi angu mzaa baba amekua akinisisitiza swala la kuoa ila namkwepa.
Nilivyoenda nyumban bibi alienda kwa kaka zake kijijini akakodineti mipango kwa binti fulani hivi. Yaani huyo binti kaka zake wote wanamsifia kwamba ni mchapakazi, Ana heshima, Sio muongeaji sana, ni mchaMungu nk .
Nilienda kumuangalia nikaongea nae. Anatazamika na anapostika kiasi.
Wakuu naomba mnipe ushauri hivi mke wa kutafutiwa anaweza kua bora kuliko ambae nitajitafutia?
-Yaani naokopa kumkataa maana wajomba zake baba wananisisitiza sana kwamba kwa jinsi wanavyomjua yule binti nitakua nimepata mdada mwema.
- Je wakuu nifanyeje.
Sasa mkuu nitajuaje kua ni bikra. Binam yake alinihakikishia kua ni bikraKama ni bikra muoe, kama sio piga chini waambie wakutaftie mwingine.
Na huyo binti usiache kumchunguza kabla ya kuoa, hata wao sometimes wanakua na wapenzi wao au watu wanaowapenda ila shinikizo la wazazi hufanya waolewe na wasiowapenda. Awe muwazi.
Na uache utoto, eti anapostika nyambaf unaoa wewe au unawaolea unaotaka uwapostie.
We jamaa unafeli kichizi, kwani kuna njia ngapi unazozijua wewe na unazoweza kuzimudu za kujua huyu ni bikra??Sasa mkuu nitajuaje kua ni bikra. Binam yake alinihakikishia kua ni bikra
Eeeh....anatazamika na anapostika ndio sifa zako za Mke ...... Oa Sasa si anapostika ....Wakuu mm niko late 20s sasa bibi angu mzaa baba amekua akinisisitiza swala la kuoa ila namkwepa.
Nilivyoenda nyumban bibi alienda kwa kaka zake kijijini akakodineti mipango kwa binti fulani hivi. Yaani huyo binti kaka zake wote wanamsifia kwamba ni mchapakazi, Ana heshima, Sio muongeaji sana, ni mchaMungu nk .
Nilienda kumuangalia nikaongea nae. Anatazamika na anapostika kiasi.
Wakuu naomba mnipe ushauri hivi mke wa kutafutiwa anaweza kua bora kuliko ambae nitajitafutia?
-Yaani naokopa kumkataa maana wajomba zake baba wananisisitiza sana kwamba kwa jinsi wanavyomjua yule binti nitakua nimepata mdada mwema.
- Je wakuu nifanyeje.
Sasa wewe wabambikizie Hadi mahari...jifanye huna mahari wajomba watamaliza...
We're being married this year. A catholic marriageNdoa Kwa kiasi Fulani ni kuifurahisha jamii...wewe muoe Tu huyo huyo ...
Advantages ukimuoa basi hao ndugu wote watakuwa tayari kukusaidia hata mtaji ukikwama since Una mke wanaempenda......tofauti ukienda chagua huko tiktok au kwenye vigodoro... wanaweza kukutenga
Chukua muda kumjua na kumsoma. Huenda pia akawa mke bora kabisaWakuu mm niko late 20s sasa bibi angu mzaa baba amekua akinisisitiza swala la kuoa ila namkwepa.