Inamaana hiyo mitambo ilikuwa inamuogopa Magufuli kwa miaka sita yote au!?Umeme sio Siasa mzee kama Mitambo na Miundo Mbinu ni chakavu huwezi kuzuia izo Outages, tofauti na kipindi Cha mwendezake kwa sasa outages zikitokea public inakuwa informed
Lakini amini kuwa Tanesco linaenda kuwa shirika bora miongoni mwa mashirika ya Umma its matter of time ila Statergic na plan tayari zimeanza kuwa implemented
Nani kakudanganya kuwa kipindi cha Magu umeme haukuwa unakatika?Inamaana hiyo mitambo ilikuwa inamuogopa magufuli kwa miaka sita yote au!??
Sasa ni lini mitambo ilikuwa mipya haikuwahi kukata umeme?Nani kakudanganya kuwa kipindi cha Magu umeme haukuwa unakatika?
Halafu eti ndio tuwaamini kwamba jengo la Burj Khalifa lilipambwa bure.πππ
View attachment 2137717
Kwamba ata ukireport taarifa ya umeme kukatika ulikuwa unakamatwa?Hao wanaohangaika na mwendazake.waulize elimu zao.
Na hata kipindi cha mwendazake umeme ulikatika sana tu isipokua sio lahisi mtu kusema.kwajinsi watu.walivyominywa uhuru wao wa kuongea.
Hivyo watanzania bado elimu,uelewa hata uwezo wa akili zao ni chini sana.
Kumbe walitakiwa waminywe zaidi.pumbavu kabisa.