Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujaeleweka....Umeme sio Siasa mzee kama Mitambo na Miundo Mbinu ni chakavu huwezi kuzuia izo Outages, tofauti na kipindi Cha mwendezake kwa sasa outages zikitokea public inakuwa informed
Lakini amini kuwa Tanesco linaenda kuwa shirika bora miongoni mwa mashirika ya Umma its matter of time ila Statergic na plan tayari zimeanza kuwa implemented
Hawa hawajielewi mkuu Hakuna mtu hata mmoja mwenye kiwanda hawajui kuwasha genereta kwa siku mzimaa ni hasara kuuInamaana hiyo mitambo ilikuwa inamuogopa magufuli kwa miaka sita yote au!??
....Uko TANESCO?....Umeme sio Siasa mzee kama Mitambo na Miundo Mbinu ni chakavu huwezi kuzuia izo Outages, tofauti na kipindi Cha mwendezake kwa sasa outages zikitokea public inakuwa informed
Lakini amini kuwa Tanesco linaenda kuwa shirika bora miongoni mwa mashirika ya Umma its matter of time ila Statergic na plan tayari zimeanza kuwa implemented
Sawa, wakati wa Mwenfa zake John ulikuwa pia unakatika, lakini sio kwa Spidi hii!!Hao wanaohangaika na mwendazake.waulize elimu zao.
Na hata kipindi cha mwendazake umeme ulikatika sana tu isipokua sio lahisi mtu kusema.kwajinsi watu.walivyominywa uhuru wao wa kuongea.
Hivyo watanzania bado elimu,uelewa hata uwezo wa akili zao ni chini sana.
Kumbe walitakiwa waminywe zaidi.pumbavu kabisa.
Ili uweze kusaidiwa andika kitu kinachoeleweka, siku moja huwa na saa kumi na mbili asubuhi na saa kumi na mbili jioni, sasa wewe ni saa kumi na mbili ipi mpaka muda huu ambao sisi hatuuoni! Acha ghadhabu uandikapo, tulia andika kitu sahihi kitakachoeleweka.Shida ya umeme wa tanzania ninini? Je ni
siasa?
Tanesco?
Maji?
Gesi?
Mitambo chakavu?
Hujuma?
Au nini? Mimi nilijua shida hii ipo maeneo ya mjini tu kukatikakatika kwa umeme ila sasa nimekuja huku turiani mtibwa leo tu jioni mpaka muda huu umeme umekatika mara kumi sasa shida ninini?
Mbaya zaidi watu wanasema angekuwepo magufuli umeme usingekatika! Sasa mama samia suluhu hassan rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania kazi kwako.
Umeme haukatiki wenyeweShida ya umeme wa tanzania ninini? Je ni
siasa?
Tanesco?
Maji?
Gesi?
Mitambo chakavu?
Hujuma?
Au nini? Mimi nilijua shida hii ipo maeneo ya mjini tu kukatikakatika kwa umeme ila sasa nimekuja huku turiani mtibwa leo tu jioni mpaka muda huu umeme umekatika mara kumi sasa shida ninini?
Mbaya zaidi watu wanasema angekuwepo magufuli umeme usingekatika! Sasa mama samia suluhu hassan rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania kazi kwako.
Nieleze kisa cha kunitukana, unadhani nikikuhitaji nitashindwa kukupata kwa sababu ya jina lako la bandia!Kaolewe huko donensk
Hizi porojo na huu ujinga ulikuwepo awamu ya nneUmeme sio Siasa mzee kama Mitambo na Miundo Mbinu ni chakavu huwezi kuzuia izo Outages, tofauti na kipindi Cha mwendezake kwa sasa outages zikitokea public inakuwa informed
Lakini amini kuwa Tanesco linaenda kuwa shirika bora miongoni mwa mashirika ya Umma its matter of time ila Statergic na plan tayari zimeanza kuwa implemented
Ukiongelea adhalani unaweza kushughulikiwa.labda ukaongelee chumbani.unung'unike huko.Kwamba ata ukireport taarifa ya umeme kukatika ulikuwa unakamatwa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Upo sawa lakini mkuu?
Informed wapi mzee wakati huku mwanza tuna Mgao wa kimya kimya toka ijumatatu mpaka leo. Ni mgao wa kuanzia saa mbili asubui mpaka saa moja kasoro ndo wanarudisha umeme TANESCO shida nini mbona hamtuambiiUmeme sio Siasa mzee kama Mitambo na Miundo Mbinu ni chakavu huwezi kuzuia izo Outages, tofauti na kipindi Cha mwendezake kwa sasa outages zikitokea public inakuwa informed
Lakini amini kuwa Tanesco linaenda kuwa shirika bora miongoni mwa mashirika ya Umma its matter of time ila Statergic na plan tayari zimeanza kuwa implemented
Kati ya mimi,wewe ambae Samia ni Rais wako mpendwa na Samia ambae aliahidi mwezi March 2021 kuwa ni mwisho wa umeme kukatika nchini halafu leo huko Turiani umeme umeshakatika mara kumi ni nani ambae hayupo sawa?Upo sawa lakini mkuu?
Hivi uliisikia kauli ya Makamba? Makamba alisema kwa kinywa chake "zamani umeme ulikuwa haukatiki mara kwa mara sababu walikuwa hawafanyi schedule maintenance..........".Nani kakudanganya kuwa kipindi cha Magu umeme haukuwa unakatika?
Samia anaendelea na mambo yake ila wewe bado unaendelea kupost kitu kile kile kila siku na zaidi ya mara moja, ndio maana nakuuliza upo sawa? kwa mtu mwenye akili ya sawa sawa angekwisha choka kufanya hicho unachofanya wewe au hizo likes unazopata ndio burudani kwako?Kati ya mimi,wewe ambae Samia ni Rais wako mpendwa na Samia ambae aliahidi mwezi March 2021 kuwa ni mwisho wa umeme kukatika nchini halafu leo huko Turiani umeme umeshakatika mara kumi ni nani ambae hayupo sawa?