mtanzania in exile
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 1,379
- 1,276
Pack your bags and hit the road!!!!!!!Jamani rafiki yangu wa kike aliniita nikampe company na hii naingia wiki pili ila ana rafiki mwingine ambae akija ananisema kwa mafumbo sana eti nimekaa sana sitoi chochote ata Hela ya chakula ....
NB.(Aliniita mwenyewe)
Ila Mimi nakausha kama sitambui lolote ila moyoni naona aibu....
Hii kusemwa inamaanisha sitakiwi au?
Unataka kuona mwisho wake? 😅Bado naskilizia
Sitaki marafiki...We si ulinikataa urafiki ona navyoteseka
Umenipata nipo pale Siti ya mbele.Ngoja akirudi nakualika😂
Uko Wapi? Njoo unipe company tafadhali naomba SanaJamani rafiki yangu wa kike aliniita nikampe company na hii naingia wiki pili ila ana rafiki mwingine ambae akija ananisema kwa mafumbo sana eti nimekaa sana sitoi chochote ata Hela ya chakula ....
NB.(Aliniita mwenyewe)
Ila Mimi nakausha kama sitambui lolote ila moyoni naona aibu....
Hii kusemwa inamaanisha sitakiwi au?
Dear hata Nauli huna?Ngoja nitafute nauli
ukowapi?Nauli sina kaka