Nipo kwa rafiki yangu naye ana rafiki mwingine ambae akija ananisema kwa mafumbo sana eti nimekaa sana sitoi hata hela ya chakula

Nipo kwa rafiki yangu naye ana rafiki mwingine ambae akija ananisema kwa mafumbo sana eti nimekaa sana sitoi hata hela ya chakula

Jamani rafiki yangu wa kike aliniita nikampe company na hii naingia wiki pili ila ana rafiki mwingine ambae akija ananisema kwa mafumbo sana eti nimekaa sana sitoi chochote ata Hela ya chakula ....
NB.(Aliniita mwenyewe)

Ila Mimi nakausha kama sitambui lolote ila moyoni naona aibu....

Hii kusemwa inamaanisha sitakiwi au?
Pack your bags and hit the road!!!!!!!
 
Nipe mualiko...maisha haya mafupi sana ..kwanini iwe mafumbo.
Why stressess kwa maisha mpaka ifike uwaze mtu.
😀😀😀😀😀😀
Atachezea makofi mpaka afungue hizo mafumbo yake.
Ngoja akirudi nakualika😂
 
Wengine huwa amtaniwi unakaribishwa kula na wewe unakaa unakula kweli 😅ukute alitania tu na akutegemea kama una kaa mda mrefu ivyo jiongeze
 
Nilishasema humu, urafiki wa bila unafiki ni shule ya msingi tu
Sasa kama wewe ni mtu mzima na umeshindwa kuelewa kuwa hakuna urafiki ukivuka hapo basi utakuwa na tatizo.

Kweli unafakamia vya bure kila leo na hujui vinatoka wapi?
Fanya urudi kwako au lipa na kodi na bills hapo

Ila ni somo ingawa imeokotwa sehemu
 
Njoo kwangu ule na kunywa bila kusemwa mwezi mzima, Ila sharti tu usafi ndo wa kazingatiwa.
 
Jamani rafiki yangu wa kike aliniita nikampe company na hii naingia wiki pili ila ana rafiki mwingine ambae akija ananisema kwa mafumbo sana eti nimekaa sana sitoi chochote ata Hela ya chakula ....
NB.(Aliniita mwenyewe)

Ila Mimi nakausha kama sitambui lolote ila moyoni naona aibu....

Hii kusemwa inamaanisha sitakiwi au?
Uko Wapi? Njoo unipe company tafadhali naomba Sana
 
pole mwaya kama unaweza kulalia ngozi naomba uje kwangu unipe company mi sina rafiki zaidi yako dear tutafika mbali
 
Back
Top Bottom