Rudi ulikotoka huyo katumwa, labda alitaka ukae siku 2 tu uondoke ili akukumbuke tena, ila wewe umejenga nyumba ya mawe, nyanyua miguu yako hapoJamani rafiki yangu wa kike aliniita nikampe company na hii naingia wiki pili ila ana rafiki mwingine ambae akija ananisema kwa mafumbo sana eti nimekaa sana sitoi chochote ata Hela ya chakula ....
NB.(Aliniita mwenyewe)
Ila Mimi nakausha kama sitambui lolote ila moyoni naona aibu....
Hii kusemwa inamaanisha sitakiwi au?
mbali hiyo hiyo iliyokuja akilini kwakoMbali wapi unasemea?!
Na kweli shoga angu ubaya ubwelaHaswaaa
Naomba namba yako Dm nikutumie.Naomba nauli
Duuh Poleee.Sina pay dada
Vyote lipa namba na namba yako.Sema tu hutanitumia au nikupe lipa number ya wakala kabisa
Uje home kama vipJamani rafiki yangu wa kike aliniita nikampe company na hii naingia wiki pili ila ana rafiki mwingine ambae akija ananisema kwa mafumbo sana eti nimekaa sana sitoi chochote ata Hela ya chakula ....
NB.(Aliniita mwenyewe)
Ila Mimi nakausha kama sitambui lolote ila moyoni naona aibu....
Hii kusemwa inamaanisha sitakiwi au?
Unachanua tu! Ndio kanuni ya maisha, usipozaa utaitwa mgumba 🤰🏽😁😂😂😂Unadhani labour ni rahisi
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hutaki kuondoka ? Kwan pamekua kwako hapo?
Kilichokuchekesha hapo nini sasa? Lala wewe!🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Aisee🤣
kabisaaaMbali kifedha eh?!
Sawa mwendo wa ngiri nakujaNi.pM nikupe