Nipo kwa rafiki yangu naye ana rafiki mwingine ambae akija ananisema kwa mafumbo sana eti nimekaa sana sitoi hata hela ya chakula

Jamani rafiki yangu wa kike aliniita nikampe company na hii naingia wiki pili ila ana rafiki mwingine ambae akija ananisema kwa mafumbo sana eti nimekaa sana sitoi chochote ata Hela ya chakula ....
NB.(Aliniita mwenyewe)

Ila Mimi nakausha kama sitambui lolote ila moyoni naona aibu....

Hii kusemwa inamaanisha sitakiwi au?
Rudi ulikotoka huyo katumwa, labda alitaka ukae siku 2 tu uondoke ili akukumbuke tena, ila wewe umejenga nyumba ya mawe, nyanyua miguu yako hapo
 
Jamani rafiki yangu wa kike aliniita nikampe company na hii naingia wiki pili ila ana rafiki mwingine ambae akija ananisema kwa mafumbo sana eti nimekaa sana sitoi chochote ata Hela ya chakula ....
NB.(Aliniita mwenyewe)

Ila Mimi nakausha kama sitambui lolote ila moyoni naona aibu....

Hii kusemwa inamaanisha sitakiwi au?
Uje home kama vip
 
Back
Top Bottom