Nipo kwa rafiki yangu naye ana rafiki mwingine ambae akija ananisema kwa mafumbo sana eti nimekaa sana sitoi hata hela ya chakula

Kwani kukwambia live? Kama hajakwambia live jua anakuogopa hivyo endelea kumuumiza kihisia.

Mkiwa wote anzisha hata vijimaneno vya kichokozi, sema nina hamu ya pizza ila hela tu ndio sina.
😂😂😂😂😂Ngoja nijaribu
 
Wanawake ua mnakiwango kidogo sana cha kuvumiliana na kubebana wakat masela mtu anakaa mpka anakarbia kuoa ndio anakupsha sasa nyie wik mbil tu midomo ishaanza
 
Hii kauli ya ubishani huwa inatoka kwa mwanaume tu...
Labda kama unanogesha stori au ni mwanaume ila umejisahau kwenye stori ya kutunga
Sina muda wa kueleza jinsia yangu kila siku
 
Ngoja nitafute nauli
 
Sio kila kitu cha kufikirika unapost ni bora upost nyuzi moja Kwa mwaka Ila iwe na mashiko maana mmezidi sasa , mauongo ,kutafuta attention n.k Kama tupo Facebook yaani
 
Rafiki yako kashindwa kukwambia directly kuwa kakuchoka hivyo anamtumia rafiki yake kukufikishia ujumbe.

Ugeni hukoma rasmi baada ya siku ya 3. Kuendelea mbele ya hapo wewe ni mkazi hivyo unapaswa kushiriki kikamilifu katika hiyo nyumba/chumba ikiwemo kuchangia chakula.

Hata kama umeitwa kuna baadhi ya vitu inapaswa ujiongeze.

Suluhisho hapo, kusanya virago vyako urudi ulikotoka. Ugeni wako ushachokwa hapo.
 
Inaonesha unakaa sana kujishebedua JF bila hata kumfulia nguo boss wako. Achana na simu anza kufanya kazi kama Housegirl
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…