Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja nitafute nauliSiwezi ishi nje ya kwangu na kwa wazazi afu nikawa comfortable.
Ntajihisi nna hatia ya kuharibu ratiba za familia ya watu, hata kwa ndugu huwa siendi mara kwa mara, na nikienda hazizidi cku 3 naaga kuondoka.
Napenda uhuru na amani.
Wee fanya uondoke hapo, huyo rafiki ako kashakuchoka na anaogopa kukuchana, ndo anamtumia huyo mwenzie. Toka nduki hapo.
Rafiki yako kashindwa kukwambia directly kuwa kakuchoka hivyo anamtumia rafiki yake kukufikishia ujumbe.Jamani rafiki yangu wa kike aliniita nikampe company na hii naingia wiki pili ila ana rafiki mwingine ambae akija ananisema kwa mafumbo sana eti nimekaa sana sitoi chochote ata Hela ya chakula ....
NB.(Aliniita mwenyewe)
Ila Mimi nakausha kama sitambui lolote ila moyoni naona aibu....
Hii kusemwa inamaanisha sitakiwi au?
Inaonesha unakaa sana kujishebedua JF bila hata kumfulia nguo boss wako. Achana na simu anza kufanya kazi kama HousegirlJamani rafiki yangu wa kike aliniita nikampe company na hii naingia wiki pili ila ana rafiki mwingine ambae akija ananisema kwa mafumbo sana eti nimekaa sana sitoi chochote ata Hela ya chakula ....
NB.(Aliniita mwenyewe)
Ila Mimi nakausha kama sitambui lolote ila moyoni naona aibu....
Hii kusemwa inamaanisha sitakiwi au?