Nipo kwa rafiki yangu naye ana rafiki mwingine ambae akija ananisema kwa mafumbo sana eti nimekaa sana sitoi hata hela ya chakula

Kama huyo third party anayesema hayo mbele ya huyo mwenyeji wako naye mwenyeji wako hatii neno ujue mwenyeji wako ndiye amemtuma, jikate fasta umechokwa.
 
Kama huyo third party anayesema hayo mbele ya huyo mwenyeji wako naye mwenyeji wako hatii neno ujue mwenyeji wako ndiye amemtuma, jikate fasta umechokwa.
Mwenyeji alikuwa anasema eti amelewa nimueleww nisikasrike
 
Alikuita ukaenda hukutuambia humu jf, anakufukuza unakataa kuondoka unakuja kulialia humu jf. Kama umehamia kwake mwambie tuu akuoe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…