Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
haha sawa work on it 🙂Hii imekaa vizuri
Ukoo dar nijutafutie chumba HATA cha 30 ulipe miezi 3 .3Next time ntarudi
Kama huyo third party anayesema hayo mbele ya huyo mwenyeji wako naye mwenyeji wako hatii neno ujue mwenyeji wako ndiye amemtuma, jikate fasta umechokwa.Jamani rafiki yangu wa kike aliniita nikampe company na hii naingia wiki pili ila ana rafiki mwingine ambae akija ananisema kwa mafumbo sana eti nimekaa sana sitoi chochote ata Hela ya chakula ....
NB.(Aliniita mwenyewe)
Ila Mimi nakausha kama sitambui lolote ila moyoni naona aibu....
Hii kusemwa inamaanisha sitakiwi au?
30 kwa mwezi unalipanmiezi 3Elfu 30 kwa miezzi.mitatu au
Cha ndani 30. Hahaa labda ....peponi dia......njeChoo cha ndani au
70 kipo...Hamna choo Cha ndani huko
Sasa amejuaje kama wewe hutoi mchango wowote kama siyo kuwa huyo mwenyeji wako anakusengenya kuwa umekuwa mzigo kwake? Jiongeze.Mwenyeji alikuwa anasema eti amelewa nimueleww nisikasrike
Alikuita ukaenda hukutuambia humu jf, anakufukuza unakataa kuondoka unakuja kulialia humu jf. Kama umehamia kwake mwambie tuu akuoe.Jamani rafiki yangu wa kike aliniita nikampe company na hii naingia wiki pili ila ana rafiki mwingine ambae akija ananisema kwa mafumbo sana eti nimekaa sana sitoi chochote ata Hela ya chakula ....
NB.(Aliniita mwenyewe)
Ila Mimi nakausha kama sitambui lolote ila moyoni naona aibu....
Hii kusemwa inamaanisha sitakiwi au?
Unarudi saa ngapi?Sirudi saizi