Nipo kwa rafiki yangu naye ana rafiki mwingine ambae akija ananisema kwa mafumbo sana eti nimekaa sana sitoi hata hela ya chakula

Jamani rafiki yangu wa kike aliniita nikampe company na hii naingia wiki pili ila ana rafiki mwingine ambae akija ananisema kwa mafumbo sana eti nimekaa sana sitoi chochote ata Hela ya chakula ....
NB.(Aliniita mwenyewe)

Ila Mimi nakausha kama sitambui lolote ila moyoni naona aibu....

Hii kusemwa inamaanisha sitakiwi au?
Mtoto mzuri! Acha ushamba, njoo ukae kwa mwanaume huku 😁
 
Jamani rafiki yangu wa kike aliniita nikampe company na hii naingia wiki pili ila ana rafiki mwingine ambae akija ananisema kwa mafumbo sana eti nimekaa sana sitoi chochote ata Hela ya chakula ....
NB.(Aliniita mwenyewe)

Ila Mimi nakausha kama sitambui lolote ila moyoni naona aibu....

Hii kusemwa inamaanisha sitakiwi au?
Anafanya kazi au anadanga? Tuanzie hapo
 
Back
Top Bottom