Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtoto mzuri! Acha ushamba, njoo ukae kwa mwanaume huku 😁Jamani rafiki yangu wa kike aliniita nikampe company na hii naingia wiki pili ila ana rafiki mwingine ambae akija ananisema kwa mafumbo sana eti nimekaa sana sitoi chochote ata Hela ya chakula ....
NB.(Aliniita mwenyewe)
Ila Mimi nakausha kama sitambui lolote ila moyoni naona aibu....
Hii kusemwa inamaanisha sitakiwi au?
Sigara hutaki kuacha...We ngoja watakuwekea wimbo huu, ndio utaelewa.
"Che che che che
Unapenda vitu vya che
Unapenda dezo dezo
Weh bwana weh yatakushinda"
Anafanya kazi au anadanga? Tuanzie hapoJamani rafiki yangu wa kike aliniita nikampe company na hii naingia wiki pili ila ana rafiki mwingine ambae akija ananisema kwa mafumbo sana eti nimekaa sana sitoi chochote ata Hela ya chakula ....
NB.(Aliniita mwenyewe)
Ila Mimi nakausha kama sitambui lolote ila moyoni naona aibu....
Hii kusemwa inamaanisha sitakiwi au?