Msumari Wa Shaba
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 344
- 464
Funga virago vyako uondoke.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AhahhaNabaki
Mkuu kwani we hauna D mbili? We ukishasikia mwanamke anahama kwake anahamia kwa mwanamke mwenzie na hataki kuondoka unatakiwa uelewe kinachoendelea.Si umsage tu ...heshima itakuja yenyewe mkisagana 😁
Nimecheka sana ety anataka kipigwe rangi mtu akikupa hifadhi hata sebulen accept it 👊KUNA Mdada MMOJA JF alishukia kwa nduguyake 2020. AKASEMA humu anateseka sana huko kwa shemejie analalaa sebulen..dah na VYUMBA KADHAA napangisha
Nikamshtua unaweza jipanga Ukakaa miezi 3 ukaanza kulipa 50 akasema ok
Akaja kmr bucha nikamwonyesha chumba...YAAN hio miezi 3 nilitaka AKAE Bure then after alipie
Loh kafika anataka kipigwe rangi mara choo chumbani NKAMWAMBIA pole hakuna .....akasema atanipigia
Nikatangaza kwa madalali nxtyday nikalipwa miezi 5 nkatulia
A week Binti anapiga basi kaka hatarangi unaweza nipakia mara una akagodoro kadogo chochote doj
Nkajibu chumba ashahamia mtu dada
Namaanisha uwezijua unaweza PATA mtu humu akupe chumba Bure cha mda shukuru Mungu usichague...ukikiwaza utaishia kama dadayangu yule
Nazidikukuweka maombini best
Naskia ata kulia hii imenigusa🥺🥺🥺Daah watu tunatofautiana mm kukaa kwa mtu aseeh ni changamoto
Kipindi nikiwa campus nishawahi ishi na mwanafunzi wa diploma hawana boom wala nn mpk mzazi wake ajichange nilikuwa nanunua kila kitu ndani sijawahi mtoza hata hamsini mbovu! Mpk tunaagana alivyo maliza!
Watu wengine kama huwezi saidia mtu sema sina tuu, ondoka sio kumsaidia huku unamsemaa au unalia haifai
Ila ukitaka kwangu fresh tuu, mm kusemana kwenye chakula nshasema sitofanya hivyo! Nikijua niliwahi saidiwa na mtu nisife njaa siwezi sema mtu au kumfukuza kisa msosi mimi.......
Huyo ana choyo, wivu,
Mahi achana na huyo rafiki ako njoo huku tushinde polini tunachunga n'gombe na kunywa maziwa.Jamani rafiki yangu wa kike aliniita nikampe company na hii naingia wiki pili ila ana rafiki mwingine ambae akija ananisema kwa mafumbo sana eti nimekaa sana sitoi chochote ata Hela ya chakula ....
NB.(Aliniita mwenyewe)
Ila Mimi nakausha kama sitambui lolote ila moyoni naona aibu....
Hii kusemwa inamaanisha sitakiwi au?
Hugs dearestNaskia ata kulia hii imenigusa🥺🥺🥺
You know how it feels to have nothing 😭🥺
Si ndio maana nimekwambia rudi pale ndio kwenu. Wazazi wako pale sio kwao. Waende kwa wazazi wao. We rudi kawafukuze warudi kwao na uishi kwa uhuru.Hamna uhuru
Hivyo ni vitu vya kawaida kwa umpendae 😁Mtanipea mimba😂acha nikae tu huku kwa kusemwa
ShunieMuage vizuri tu urudi ulipokuwa unaishi
Huna kwako? Na kwanini hutoipesa au kununua mahitaji una tatizo gani?Me nliitwa
Bado niko stendi ya magufuli hapa naomba uni pokee 😂🤣.Kwani uko wapi wewe?
Ushakua na 😂kiburi baada ya kufika dar
Usiondoke shoga anguHii itakuwa kweli😭😹
Ila Mimi nawakomoa wote siendi