Nipo kwa rafiki yangu naye ana rafiki mwingine ambae akija ananisema kwa mafumbo sana eti nimekaa sana sitoi hata hela ya chakula

Nipo kwa rafiki yangu naye ana rafiki mwingine ambae akija ananisema kwa mafumbo sana eti nimekaa sana sitoi hata hela ya chakula

Si umsage tu ...heshima itakuja yenyewe mkisagana 😁
Mkuu kwani we hauna D mbili? We ukishasikia mwanamke anahama kwake anahamia kwa mwanamke mwenzie na hataki kuondoka unatakiwa uelewe kinachoendelea.
 
Daah watu tunatofautiana mm kukaa kwa mtu aseeh ni changamoto

Kipindi nikiwa campus nishawahi ishi na mwanafunzi wa diploma hawana boom wala nn mpk mzazi wake ajichange nilikuwa nanunua kila kitu ndani sijawahi mtoza hata hamsini mbovu! Mpk tunaagana alivyo maliza!

Watu wengine kama huwezi saidia mtu sema sina tuu, ondoka sio kumsaidia huku unamsemaa au unalia haifai

Ila ukitaka kwangu fresh tuu, mm kusemana kwenye chakula nshasema sitofanya hivyo! Nikijua niliwahi saidiwa na mtu nisife njaa siwezi sema mtu au kumfukuza kisa msosi mimi.......

Huyo ana choyo, wivu,
 
KUNA Mdada MMOJA JF alishukia kwa nduguyake 2020. AKASEMA humu anateseka sana huko kwa shemejie analalaa sebulen..dah na VYUMBA KADHAA napangisha

Nikamshtua unaweza jipanga Ukakaa miezi 3 ukaanza kulipa 50 akasema ok

Akaja kmr bucha nikamwonyesha chumba...YAAN hio miezi 3 nilitaka AKAE Bure then after alipie

Loh kafika anataka kipigwe rangi mara choo chumbani NKAMWAMBIA pole hakuna .....akasema atanipigia

Nikatangaza kwa madalali nxtyday nikalipwa miezi 5 nkatulia

A week Binti anapiga basi kaka hatarangi unaweza nipakia mara una akagodoro kadogo chochote doj

Nkajibu chumba ashahamia mtu dada

Namaanisha uwezijua unaweza PATA mtu humu akupe chumba Bure cha mda shukuru Mungu usichague...ukikiwaza utaishia kama dadayangu yule

Nazidikukuweka maombini best
Nimecheka sana ety anataka kipigwe rangi mtu akikupa hifadhi hata sebulen accept it 👊
 
Daah watu tunatofautiana mm kukaa kwa mtu aseeh ni changamoto

Kipindi nikiwa campus nishawahi ishi na mwanafunzi wa diploma hawana boom wala nn mpk mzazi wake ajichange nilikuwa nanunua kila kitu ndani sijawahi mtoza hata hamsini mbovu! Mpk tunaagana alivyo maliza!

Watu wengine kama huwezi saidia mtu sema sina tuu, ondoka sio kumsaidia huku unamsemaa au unalia haifai

Ila ukitaka kwangu fresh tuu, mm kusemana kwenye chakula nshasema sitofanya hivyo! Nikijua niliwahi saidiwa na mtu nisife njaa siwezi sema mtu au kumfukuza kisa msosi mimi.......

Huyo ana choyo, wivu,
Naskia ata kulia hii imenigusa🥺🥺🥺
You know how it feels to have nothing 😭🥺
 
Jamani rafiki yangu wa kike aliniita nikampe company na hii naingia wiki pili ila ana rafiki mwingine ambae akija ananisema kwa mafumbo sana eti nimekaa sana sitoi chochote ata Hela ya chakula ....
NB.(Aliniita mwenyewe)

Ila Mimi nakausha kama sitambui lolote ila moyoni naona aibu....

Hii kusemwa inamaanisha sitakiwi au?
Mahi achana na huyo rafiki ako njoo huku tushinde polini tunachunga n'gombe na kunywa maziwa.
 
Naskia ata kulia hii imenigusa🥺🥺🥺
You know how it feels to have nothing 😭🥺
Hugs dearest

Najua ni vile unavumilia utafanya nn

Lkn binadamu tuhurumiane na kuchukuliana kwenye shida, na changamoto

Kikawaida utahisi kuchoka lkn ikiwa wewe ndo umeeandaliwa kuwa daraja la mwingine kupita basi iwe hivyo usiwe ukuta! Pindi mtu anapohitaji msaada toka kwako
 
Kumbe shida ni msosi!, tunge kuwa sehemu Moja ninge kwambia uwe una kuja kula free ×4.

sisi wengine kula ni starehe yetu, hivyo tuna elewa njaa za wengine.
 
Back
Top Bottom