Mkuu ebu liangalie vizuri kabla kwanza alafu uniambiekwenyebus ni public space, na hasa kama mtu kasimama nyuma yako hilo tegemea , ushauri just browse other staffs na sio mesages, otherwise weka kwanza vizuio inama, au weka chini ya miguu. maan nyuma ya basi still kuna seat za watu unless ukae mwisho kabisa. utagombana na wengi. Pole sana
Wee ngoja wadau wanipandishe hasira wee ngoja tuMianaume ya Dar yani ni mioga sijapata kuona,sasa hicho kivulana ndio unaliita lijamaa?sasa ukionana na mijamaa ya huku kwetu Mara utaiitaje?alafu wewe ndiye upo nalo humo ndani ya gari why usilipe vitasa tu mmalizane ili kila mtu afe na chake?au unakaogopa?