Nipo kwenye basi hili lijamaa linasoma mgs zangu nimegeuza kamera nikalinasa

Nipo kwenye basi hili lijamaa linasoma mgs zangu nimegeuza kamera nikalinasa

mbere

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2015
Posts
6,967
Reaction score
6,465
Wakuu hili lijitu linasoma msg zangu,

Lenyewe limekosa nafasi ya kukaa badala liangalie miti inavyokimbia nje linaangalia simu yangu, nimfanyeje?

eebadfccb9e080ab194d107ecc320051.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app

UPDATE:
NIMEMTUMIA MTU MSG YA WHATSUP NA HIYO PICHA
WAKATI NAANDIKA JAMAA KASHTUKA MNO MNO MNO
3eb1f3336810946b7e37e27ae44942ac.jpg
 
kwenyebus ni public space, na hasa kama mtu kasimama nyuma yako hilo tegemea , ushauri just browse other staffs na sio mesages, otherwise weka kwanza vizuio inama, au weka chini ya miguu. maan nyuma ya basi still kuna seat za watu unless ukae mwisho kabisa. utagombana na wengi. Pole sana
 
Mkuu ebu liangalie vizuri kabla kwanza alafu uniambie
Shingo kamaaa nini sijui

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi kuna lidada moja niliwahi ligundua linafanya hivyo hivyo kwenye basi nikalikabidhi simu lisome liridhike then linirudishie. Nadhani kituo alichoshuka hakupanga maana sister siti ya nyuma alimuungia kichambo cha ki-Mange mange.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli shingo kaelekeza na kadhamiria kussoma mesage zako. ukiwasha cmu tu au ipadkama kuna mtu akasimama lazima ageuke!! hilo huwezi kuzuia. labda uwe unakaa kiti cha mwisho kabisa ama dirishani ili cmu uelekeze dirishani. sanasana ukitaka asiangalia muelekezee jifany unajibu mesage kuza maandishi then mwandikie ACHA KUSOMA MESAGE ZANGU! SIO UUUNGWANA. Utaona anageuka mwenyewe!!
 
Mianaume ya Dar yani ni mioga sijapata kuona,sasa hicho kivulana ndio unaliita lijamaa?sasa ukionana na mijamaa ya huku kwetu Mara utaiitaje?alafu wewe ndiye upo nalo humo ndani ya gari why usilipe vitasa tu mmalizane ili kila mtu afe na chake?au unakaogopa?
 
mie huwa nikiona mtu anasoma msg naandika text unafaidi kitu gani kusoma msg zangu na maneno ya dharau ya kutosha. the najitumia ile text kwenye namba yangu mwenyewe. ukizima simu ikiwa nyeusi utamwona anageuka pembeni.
 
Hujamtendea haki maana kuna KUANGALIA, KUTAZAMA NA KUONA......wakati mwingine uso unaweza ukaulekeza sehemu lakini bado usione na hata kama mtu anakupungia mkono (kwenye bus mara nyingi wakati linatembea unakuta umeelekeza uso sehemu flani lakini akili inakuwa ime-relax kiasi kwamba haitafsiri vitu inavyoviona mpaka itokee kitu ambacho ni interesting / dharula aka unakuta umetoa macho aka umezubaa lakini si kwamba unaona
 
Mianaume ya Dar yani ni mioga sijapata kuona,sasa hicho kivulana ndio unaliita lijamaa?sasa ukionana na mijamaa ya huku kwetu Mara utaiitaje?alafu wewe ndiye upo nalo humo ndani ya gari why usilipe vitasa tu mmalizane ili kila mtu afe na chake?au unakaogopa?
Wee ngoja wadau wanipandishe hasira wee ngoja tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom