Nipo kwenye basi hili lijamaa linasoma mgs zangu nimegeuza kamera nikalinasa

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
si anaogopa..

Ndo tabu ya kuzaliwa Dar hii,

hapo kidume cha bara kiko kwenye ulinzi shirikishi,
huwezi jua,unaweza kuta magaidi ya kibiti yanatumiana message,
lazima tuwe macho mda wote..


Ha ha ha..
Hv hujuagi ni wa wapi!
 
Hahahahah niliwahi kukutwa na mkasa kama huo baada ya kuona nikaandika msg,"naona hili joka kwenye begi linanigusa nahisi linatoka na begi halifungi zipu, sasa naogopa kuna mzee nimekaa nae sijui kama ataweza kukimbili likitoka au litamuuma". Baada ya hapo yule mzee pembeni yangu aliomba kushuka kabla hajafika hata alipokuwa akienda. Spendi ujinga mimi
 

Shauri na umekisha huyo Usa**** wa Ta**
 

me kina jamaa nachati na wife yeye atoa mimacho nikafungua kamera ya mbele nikapiga picha.nikamwambia nipe namba yako nikitumie[emoji102][emoji102]
 
unge andika, vipi nibonyeze button nijilipue na hili bomu' aha nadhani huyo jamaa ungemkuta nje kupitia kioo
 
πŸ˜‰πŸ˜΅πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜›chabo hadi kwenye simuπŸ˜€πŸ˜€pole mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…