Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ni kweli shingo kaelekeza na kadhamiria kussoma mesage zako. ukiwasha cmu tu au ipadkama kuna mtu akasimama lazima ageuke!! hilo huwezi kuzuia. labda uwe unakaa kiti cha mwisho kabisa ama dirishani ili cmu uelekeze dirishani. sanasana ukitaka asiangalia muelekezee jifany unajibu mesage kuza maandishi then mwandikie ACHA KUSOMA MESAGE ZANGU! SIO UUUNGWANA. Utaona anageuka mwenyewe!!
Labda mkuu eti inawezekana eeeeHivi vi Moderator vinajidai lol,eti vimefunika sura yake sasa...labda ni 'kenzao'
Hahaaaa. Haya bana usijali mkuu japo kwa upande wangu hiyo sioni kama ni dawa.Sisi wanaume wa mkoa wa Mara hatunaga muda wa kuuliza,bali tunakuaga na muda wa kutoa onyo kwa vitasa vizito ili iwe fundisho kwa wengine wenye tabia kama hiyo!
Hv hujuagi ni wa wapi!si anaogopa..
Ndo tabu ya kuzaliwa Dar hii,
hapo kidume cha bara kiko kwenye ulinzi shirikishi,
huwezi jua,unaweza kuta magaidi ya kibiti yanatumiana message,
lazima tuwe macho mda wote..
Ha ha ha..
hahahahUna uhakika gani kua hilo unaloliita lijamaa kama linajua hata kusoma?!
SASA NG'OMBE WANAONAGA?Wakuu hili lijitu linasoma msg zangu,
Lenyewe limekosa nafasi ya kukaa badala liangalie miti inavyokimbia nje linaangalia simu yangu, nimfanyeje?
View attachment 550978
Sent using Jamii Forums mobile app
UPDATE:
NIMEMTUMIA MTU MSG YA WHATSUP NA HIYO PICHA
WAKATI NAANDIKA JAMAA KASHTUKA MNO MNO MNO
![]()
Ni kweli shingo kaelekeza na kadhamiria kussoma mesage zako. ukiwasha cmu tu au ipadkama kuna mtu akasimama lazima ageuke!! hilo huwezi kuzuia. labda uwe unakaa kiti cha mwisho kabisa ama dirishani ili cmu uelekeze dirishani. sanasana ukitaka asiangalia muelekezee jifany unajibu mesage kuza maandishi then mwandikie ACHA KUSOMA MESAGE ZANGU! SIO UUUNGWANA. Utaona anageuka mwenyewe!!
Mimi kuna lidada moja niliwahi ligundua linafanya hivyo hivyo kwenye basi nikalikabidhi simu lisome liridhike then linirudishie. Nadhani kituo alichoshuka hakupanga maana sister siti ya nyuma alimuungia kichambo cha ki-Mange mange.
Sent using Jamii Forums mobile app