Pre GE2025 Nipo kwenye hatua za mwisho za kusajili chama kipya cha siasa kitakachoing'oa CCM kabla 2025. Nahitaji vijana 10 tu kutoka kila mkoa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Sina utani kabisa kwenye hili jambo nimedhamilia , kama vijana wa nchi hii ,tuliweka Imani kubwa sana kwa vyama vya siasa vilivyopo ,tangu mwaka 1995 mpaka sasa ,hakuna chama hata kimoja ambacho kimethubutu kuiondoa ccm na

Umedhamilia (Dhamiria) halafu ID fake!!!! Are you serious?
 
Anzisha tu hutakuwa wa kwanza. Ila tambua sio kazi ndogo.
 
Kabla ya Mtei kuanzisha hicho chama alikuja kupiga promo hapa jf?
Umedai hakuna kada wa ccm atayeanzisha chama Cha maana,ndiyo nikamtaja mtei na chadema yake,hoja haikua promo jf
 
Kabla ya Mtei kuanzisha hicho chama alikuja kupiga promo hapa jf?
Mimi sio mtei Kila mtu na njia zake ,na je aliwahi hata kutikisa sharubu za ccm au kushika Dola?
 
ccm haiondolewi kwa makaratasi ya kura,labda ungeomba vijana 10 kila mkoa wakuingia nao msituni for gorrila war
 
Chama chako kita
omea hapa hapa unapokianzishia kwa bandiko
 
Kwani lazima ukiri, post zako zinajieleza.
Kila aliyezaliwa kabla ya vyama vingi alikuwa ccm hata hao viongozi wa upinzani waliopo sasa walikuwa ccm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…